Swali Gumu: Kwanini kila ninayemsaidia huwa hana shukrani?

Swali Gumu: Kwanini kila ninayemsaidia huwa hana shukrani?

Kuna m1 alifukuzwa na shemeji Yake.....Dada yake akaomba hifadhi kwangu Leo ni siku ya 8 tangu aishi hapa....Ila anayoyaonyesha sasa(Ni msichana wazazi wake walishafariki) hadi sasa 3 usiku anakuwa bado hajarudi..!Ngj nimchore n then nimpe makavu yake liwalo na lile
 
Endelea na moyo wako wa kujitolea kusaidia bila kujali shukrani au maneno yao, thawabu yako utaipata kwa Mungu si kwa mwanadamu, God is watching you.
 
Ila watu wengine wakikusaidia wanataka uwanyenyekee watoto wao, ujichekeshechekeshe na uitikie kila anachokisema, kila anakokutuma uende, Yani atakutumatuma vitu vya kijinga Sana. Infact mtu akikusaidia somehow ananunua utu wako.
 
Back
Top Bottom