feitty
JF-Expert Member
- Jul 10, 2015
- 2,594
- 4,189
Anajionea aibu.Ukiwa unatenda wema na kutarajia urudishiwe chochote huo hukuwa unatenda wema bali unafanya biashara
Mm kuna jamaa yangu alikuwa anaumwa inatakiwa afanyiwe operations mbili moja ya kongosho na nyingine ya tezi dume na alikuwa na sh 60000 but gharama za pale kcmc hospital ni 2.3ml
Nkaampa bima yangu akafanyiwa operations zote hizo kwa bima yangu,nilijitoa tu kama rafiki wala sikuwa natarajia chochote kutoka kwake
Alivyopona akanitoa na konyagi ndogo ya 3500,
Ila mpaka Leo akiniona ananikimbia cjui ni kwa nn?
Halafu huyo rafikiyo fala kweli mana sio lazima akurudishie angejiweka tu karibu na wewe kama zamani mana humdai ni umejitolea tu sasa kukukimbia kunamsaidia nini