Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
Mana simwelewagi kabisaJomoni?
Tusaidie shemejiMnhh...
!!!!!
Hahahahahakupekua na minyoo ni damu damu plus lile tumbo atakuwa anafuga minyoo tu
Kwahiyo yeye keshakuwa nabiiNadhani ni mashariti ya waganga, ila siku hizi anavaa baada ya watu kumsema sana, yeye anasemaga kuna raha kutembea peku kuenzi mababu zetu. Hata Nabii Joshua naye alitembea peku alipokujaga tz.
Shemejii shemejii mbona wazima taa..!!Tusaidie shemeji
HahahahahaHongera Sana MWIJAKU na NICOLE KWA KUFUNGA NDOA KWENYE WIMBO WA KIKI.
-Mrisho Mpoto ni Mchumia tumbo flani hivi ambaye kapewa masharti na mganga hasivae viatu ili aendelee kupata mali,anatuzuga kwamba kutembea peku ni afya sasa kama anajali afya mwili wake asingeuachia namna ile.
Taa haijazimwa kwani Raia huwaoni wamejaaShemejii shemejii mbona wazima taa..!!
Sijawahi kumuelewa huyo jamaa.. Labda ni masharti ya mganga.
Juzi bungeni alikuwa peku...Nadhani ni mashariti ya waganga, ila siku hizi anavaa baada ya watu kumsema sana, yeye anasemaga kuna raha kutembea peku kuenzi mababu zetu. Hata Nabii Joshua naye alitembea peku alipokujaga tz.

Zima tulale Shem...Taa haijazimwa kwani Raia huwaoni wamejaa