SWALI: Hivi huyu Mrisho Mpoto ndio nani?!

Money Penny

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2016
Posts
17,694
Reaction score
17,131
Samahani nauliza:
Hivi huyu Mrisho Mpoto kwanini havaagi viatu?!

Unajua simwelewagi kabisa huyu mtu?!

Kuna siku nilikutana nae pale Makumbusho anapekuaaa skunyingine nimekutana nae Posta mpya anapekua

Anakuwa ma mana gani? !
Kwanzaa huyu kaka ni kabila gan?!

Zamani alikuwa akiimba simwelewi sikuhizi kidogo naanza kumwelewa

Urasta farai wa kibongo nao kazi jomoni!

Nadhani ni mashariti ya waganga, ila siku hizi anavaa baada ya watu kumsema sana, yeye anasemaga kuna raha kutembea peku kuenzi mababu zetu. Hata Nabii Joshua naye alitembea peku alipokujaga tz.
 
Hongera Sana MWIJAKU na NICOLE KWA KUFUNGA NDOA KWENYE WIMBO WA KIKI.

-Mrisho Mpoto ni Mchumia tumbo flani hivi ambaye kapewa masharti na mganga hasivae viatu ili aendelee kupata mali,anatuzuga kwamba kutembea peku ni afya sasa kama anajali afya mwili wake asingeuachia namna ile.
 
Kwahiyo yeye keshakuwa nabii
Tobaa
Hatuchelewi kusikia kafungua kanisa
 
Hongera Sana MWIJAKU na NICOLE KWA KUFUNGA NDOA KWENYE WIMBO WA KIKI.

-Mrisho Mpoto ni Mchumia tumbo flani hivi ambaye kapewa masharti na mganga hasivae viatu ili aendelee kupata mali,anatuzuga kwamba kutembea peku ni afya sasa kama anajali afya mwili wake asingeuachia namna ile.
Hahahahaha
Ila hawajafunga ndoa bwana ilikuwa Kiki tuu
 
Nadhani ni mashariti ya waganga, ila siku hizi anavaa baada ya watu kumsema sana, yeye anasemaga kuna raha kutembea peku kuenzi mababu zetu. Hata Nabii Joshua naye alitembea peku alipokujaga tz.
Juzi bungeni alikuwa peku...
 
Back
Top Bottom