SWALI: Hivi huyu Mrisho Mpoto ndio nani?!



Jomoni ni nini?
 
Chizi tu huyo maney hunter.......


Mrisho ni zuga tu.


Mi simwelewagi na yale mablauzi yake, sijui madera yale.


Mi simwelewagi na yale mablauzi yake, sijui madera yale.


Anajaribu kujiweka watofauti aslongest yeye ni Msanii lazima afanye Mambo tofauti sababu inambidi awe hivyo,

kumuongelea tu inatosha kuwa shabiki yake damu damu.

hahahahaha wauza viatu lazima wanamchukia sana huyu Jamaa.


Ni mwanamashairi bora zaidi tanzania, kutokuvaa viatu ni uamuzi wake binafsi

Mimi na wasaniii wa kibongo ni paka na panyaaa


Au mnazungumzia peku ya kondom


Aina ya mashairi yake mm naweza tunga nyimbo 700 per one week


Ana zuga tu huyo namjua vizuri tu anaacha viatu kwenye gari akiona mkusanyiko wa watu.


Mume wa mtu huyo

Mnaitwa huku Ushauri: Ukiwa na pesa, kumegewa ni siri ya ndani
 
Wakati ana copy mashairi ya shaban Robert huo ubora kautoa wapi


Kuna siku wajuvi wa humu JF walidai jamaa kutembea peku, ni mambo ya ndagu



Mnaitwa huku Ushauri: Ukiwa na pesa, kumegewa ni siri ya ndani
 


Viatu kamuachia mjomba
Hahaha kwakweli

Zima tulale Shem...
Sawa shem

Msaka kiki
Hahaha h
shem upogo?!

Juzi bungeni alikuwa peku...
Ana shida kwakweli



Nadhani ni mashariti ya waganga, ila siku hizi anavaa baada ya watu kumsema sana, yeye anasemaga kuna raha kutembea peku kuenzi mababu zetu. Hata Nabii Joshua naye alitembea peku alipokujaga tz.


kupekua na minyoo ni damu damu plus lile tumbo atakuwa anafuga minyoo tu


Mje na huku Ushauri: Ukiwa na pesa, kumegewa ni siri ya ndani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…