Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
- Thread starter
- #61
AbeeMshana tu huyo
Umemaanisha mshamba au?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AbeeMshana tu huyo
Samahani nauliza:
Hivi huyu Mrisho Mpoto kwanini havaagi viatu?!
Unajua simwelewagi kabisa huyu mtu?!
Kuna siku nilikutana nae pale Makumbusho anapekuaaa skunyingine nimekutana nae Posta mpya anapekua
Anakuwa ma mana gani? !
Kwanzaa huyu kaka ni kabila gan?!
Zamani alikuwa akiimba simwelewi sikuhizi kidogo naanza kumwelewa
Urasta farai wa kibongo nao kazi jomoni!
Ni JamaniJomoni ni nini?
Hahahahaha kumbee!Lakini alipopanda mlima Kilimanjaro alivaa zile buti za kupandia milimani.
Ni Jamani
Una maswali Mengi kwani wewe ni afande?!Ulishindwa nini kuandika "JAMANI?"
Lakini alipopanda mlima Kilimanjaro alivaa zile buti za kupandia milimani.
Jomoni ni nini?
aisee...inaweza kua namna yake tu ameamua
Mshana tu huyo
Ndivyo alivyoamua kuji brand..
aisee...inaweza kua namna yake tu ameamua
Chizi tu huyo maney hunter.......
Mrisho ni zuga tu.
Mi simwelewagi na yale mablauzi yake, sijui madera yale.
Mi simwelewagi na yale mablauzi yake, sijui madera yale.
Anajaribu kujiweka watofauti aslongest yeye ni Msanii lazima afanye Mambo tofauti sababu inambidi awe hivyo,
kumuongelea tu inatosha kuwa shabiki yake damu damu.
hahahahaha wauza viatu lazima wanamchukia sana huyu Jamaa.
Ni mwanamashairi bora zaidi tanzania, kutokuvaa viatu ni uamuzi wake binafsi
Mimi na wasaniii wa kibongo ni paka na panyaaa
Au mnazungumzia peku ya kondom
Aina ya mashairi yake mm naweza tunga nyimbo 700 per one week
Ana zuga tu huyo namjua vizuri tu anaacha viatu kwenye gari akiona mkusanyiko wa watu.
Mume wa mtu huyo
Wakati ana copy mashairi ya shaban Robert huo ubora kautoa wapi
Kuna siku wajuvi wa humu JF walidai jamaa kutembea peku, ni mambo ya ndagu
Sweet heart Honey Money Penny
Mrisho Mpoto ni kijana mdogo tu aliyeamua kufuata nyayo za nguli wa Sanaa za maonesho, Dr Mgunga wa Mnyenyelwa. Huyu alikuwa mwalimu wa Sanaa, Maigizo na lugha pale chuoni mlimani. Aliandika jina lake hapa nchini baada ya kifo cha Mwl Nyerere aliporindimisha kibao kiitwacho "Nenda Mwalimu" akina na kikundi cha Parapanda Arts. Ngoma hii haikueleweka vema maana ilijaa tashtiti, tafsida,_ki za masharti, majigambo na simanzi kwa wakati mmoja. Mgunga hakueleweka vyema.
Hapo ndipo mwanagenzi Mrisho Mpoto alipoazima jani. Hana ufundi wa Mgunga, lakini anaufundi wa biashara. Siri ya Mrisho ni kuchanganya mashairi, tashtiti, tamathali, ngeli, ghani na majigambo pamoja na vionjo vya muziki wa kizazi kipya na wanamuziki wake. Hii imemsaidia kwa kiasi Fulani maana wapenzi wa muziki hasa vijana wanavutiwa na kazi za Mrisho.
Kwa nini havai viatu, kwa nini anavaa gunia/magunia na ngozi (wakati mwingine)?. Yeye husema anaenzi tamaduni za Kitanzania. Nionavyo amekusudia Hii iwe "brand" yake. Amekusudia kuwa na muziki tofauti na mavazi tofauti. Anakusudia kuuza mavazi haya pia japo kutovaa viatu naona itakuwa ngumu kwake kupata wafuasi. Ni mthubutu ndio maana tunamjadili.Ametazama mbali.
Atafanikiwa kutambuliwa kama muasisi (pioneer) wa aina ya muziki anaofanya na mavazi anayovaa? Ni swali linalosubiri muda kupata majibu.
Mnaitwa huku Ushauri: Ukiwa na pesa, kumegewa ni siri ya ndaniWatanzania tuna husda sana.....!!!
Sijui ni kwanini tu nashindwa kutambua mipaka yetu..!!!
Sijui ni kwanini tunapenda ku dictate maisha ya watu..!!
Kama yeye ana enjoy kutembea peku ni sawa...as long as huko kutembea peku hakuingiliani na uhuru wa wengine..!!!!
Jomoni?
Hahaha kwakweliViatu kamuachia mjomba
Sawa shemZima tulale Shem...
Hahaha hMsaka kiki
Ana shida kwakweliJuzi bungeni alikuwa peku...
Hongera Sana MWIJAKU na NICOLE KWA KUFUNGA NDOA KWENYE WIMBO WA KIKI.
-Mrisho Mpoto ni Mchumia tumbo flani hivi ambaye kapewa masharti na mganga hasivae viatu ili aendelee kupata mali,anatuzuga kwamba kutembea peku ni afya sasa kama anajali afya mwili wake asingeuachia namna ile.
Nadhani ni mashariti ya waganga, ila siku hizi anavaa baada ya watu kumsema sana, yeye anasemaga kuna raha kutembea peku kuenzi mababu zetu. Hata Nabii Joshua naye alitembea peku alipokujaga tz.
kupekua na minyoo ni damu damu plus lile tumbo atakuwa anafuga minyoo tu
nipogoHahaha kwakweli
Sawa shem
Hahaha h
shem upogo?!
Ana shida kwakweli
Mje na huku Ushauri: Ukiwa na pesa, kumegewa ni siri ya ndani
Njoo mwone Dadako kaanza kwa wazungu tenanipogo
Doh
Sawa Pr wa Mrisho
NimeshindwaHahahahaha Mungu anakuona penda vya kwenu!
Hamna lolote ushirikina tu.aisee...inaweza kua namna yake tu ameamua