SWALI: Hivi huyu Mrisho Mpoto ndio nani?!

Ni kujenga uhusiano kati ya ardhi na binadamu......ina saidia kuishi miaka mingi zaid dunian







#bi.kidude
 
Mh! Hivi kuna vijana kweli wanaovutiwa na kazi zake [emoji50]
 
Nadhani ni mashariti ya waganga, ila siku hizi anavaa baada ya watu kumsema sana, yeye anasemaga kuna raha kutembea peku kuenzi mababu zetu. Hata Nabii Joshua naye alitembea peku alipokujaga tz.
Muongo tu huyo "" muigizaji ..anatafutaga Jamii imuongelee...nimeshakaa nae sana pale " maeneo ya garden kinondoni..nikaribu na sehemu yake ya kufanyia mazoezi "" mbon huwa anatembea na viatu mwanzo mwisho na wakati huo nilipokuwa na kutana nae nizaidi ya miaka 7 iliyopita wakati huo akiwa on top ....huwa anajifanya kutembea peku sehemu ambazo zina mkusanyiko wawatu wengi ili apate cha kuongelewa """
 
Anajaribu kujiweka watofauti aslongest yeye ni Msanii lazima afanye Mambo tofauti sababu inambidi awe hivyo,

kumuongelea tu inatosha kuwa shabiki yake damu damu.

hahahahaha wauza viatu lazima wanamchukia sana huyu Jamaa.
kwani unadhani havai !? kabisaa ..huwa anavaa sana ...sema anapojitokeza sehemu zenye impact au mkusanyiko mkubwa wa watu ndio anajifanya kuigiza kutembea peku ""ili watu. wapate kumuongelea kama hivi
 
kwani unadhani havai !? kabisaa ..huwa anavaa sana ...sema anapojitokeza sehemu zenye impact au mkusanyiko mkubwa wa watu ndio anajifanya kuigiza kutembea peku ""ili watu. wapate kumuongelea kama hivi
na hakika sana juu ya ilo, Am wondering msalani uwa anaingia vipi? lazima uwa anavaa viatu la sivyo atakuwa ni mchafu aliyetukuka na asiyemfano wa kuigwa.

napenda mashairi yake sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…