Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kupekua na minyoo ni damu damu plus lile tumbo atakuwa anafuga minyoo tu
Doh!mrisho ni Mnafiki wa Kiwango cha Lami. hicho ndio nachofahamu
Hahaha ahaNi Masharti niliyompa Mimi Mganga wake
Hahaha a jaribuNimeshindwa
Woi nani kasemaNi kujenga uhusiano kati ya ardhi na binadamu......ina saidia kuishi miaka mingi zaid dunian
#bi.kidude
Haahaaha duh! We jamaa!Au mnazungumzia peku ya kondom
Mh! Hivi kuna vijana kweli wanaovutiwa na kazi zake [emoji50]Sweet heart Honey Money Penny
Mrisho Mpoto ni kijana mdogo tu aliyeamua kufuata nyayo za nguli wa Sanaa za maonesho, Dr Mgunga wa Mnyenyelwa. Huyu alikuwa mwalimu wa Sanaa, Maigizo na lugha pale chuoni mlimani. Aliandika jina lake hapa nchini baada ya kifo cha Mwl Nyerere aliporindimisha kibao kiitwacho "Nenda Mwalimu" akina na kikundi cha Parapanda Arts. Ngoma hii haikueleweka vema maana ilijaa tashtiti, tafsida,_ki za masharti, majigambo na simanzi kwa wakati mmoja. Mgunga hakueleweka vyema.
Hapo ndipo mwanagenzi Mrisho Mpoto alipoazima jani. Hana ufundi wa Mgunga, lakini anaufundi wa biashara. Siri ya Mrisho ni kuchanganya mashairi, tashtiti, tamathali, ngeli, ghani na majigambo pamoja na vionjo vya muziki wa kizazi kipya na wanamuziki wake. Hii imemsaidia kwa kiasi Fulani maana wapenzi wa muziki hasa vijana wanavutiwa na kazi za Mrisho.
Kwa nini havai viatu, kwa nini anavaa gunia/magunia na ngozi (wakati mwingine)?. Yeye husema anaenzi tamaduni za Kitanzania. Nionavyo amekusudia Hii iwe "brand" yake. Amekusudia kuwa na muziki tofauti na mavazi tofauti. Anakusudia kuuza mavazi haya pia japo kutovaa viatu naona itakuwa ngumu kwake kupata wafuasi. Ni mthubutu ndio maana tunamjadili.Ametazama mbali.
Atafanikiwa kutambuliwa kama muasisi (pioneer) wa aina ya muziki anaofanya na mavazi anayovaa? Ni swali linalosubiri muda kupata majibu.
labda Peter msechu pamoja na Nuruel ongezea na yule wa Project fame bila kumsahau small jobiso.Mh! Hivi kuna vijana kweli wanaovutiwa na kazi zake [emoji50]
YeahChee!
Dangu tena? !
Mh! Hivi kuna vijana kweli wanaovutiwa na kazi zake [emoji50]
uko hospitalHahahahaha
Nimecheka mpaka mgonjwa kaamka
Hahhaha...
Muongo tu huyo "" muigizaji ..anatafutaga Jamii imuongelee...nimeshakaa nae sana pale " maeneo ya garden kinondoni..nikaribu na sehemu yake ya kufanyia mazoezi "" mbon huwa anatembea na viatu mwanzo mwisho na wakati huo nilipokuwa na kutana nae nizaidi ya miaka 7 iliyopita wakati huo akiwa on top ....huwa anajifanya kutembea peku sehemu ambazo zina mkusanyiko wawatu wengi ili apate cha kuongelewa """Nadhani ni mashariti ya waganga, ila siku hizi anavaa baada ya watu kumsema sana, yeye anasemaga kuna raha kutembea peku kuenzi mababu zetu. Hata Nabii Joshua naye alitembea peku alipokujaga tz.
kwani unadhani havai !? kabisaa ..huwa anavaa sana ...sema anapojitokeza sehemu zenye impact au mkusanyiko mkubwa wa watu ndio anajifanya kuigiza kutembea peku ""ili watu. wapate kumuongelea kama hiviAnajaribu kujiweka watofauti aslongest yeye ni Msanii lazima afanye Mambo tofauti sababu inambidi awe hivyo,
kumuongelea tu inatosha kuwa shabiki yake damu damu.
hahahahaha wauza viatu lazima wanamchukia sana huyu Jamaa.
na hakika sana juu ya ilo, Am wondering msalani uwa anaingia vipi? lazima uwa anavaa viatu la sivyo atakuwa ni mchafu aliyetukuka na asiyemfano wa kuigwa.kwani unadhani havai !? kabisaa ..huwa anavaa sana ...sema anapojitokeza sehemu zenye impact au mkusanyiko mkubwa wa watu ndio anajifanya kuigiza kutembea peku ""ili watu. wapate kumuongelea kama hivi