MImi wakat naanza, hata mimi nlikalishwa na kukanywa sana.
Lakini i feel like it was too late.
Nliendelea kwa kificho hadi nikawa mtu mzima. Hua nakataa nkiulizwa, lakini to be honest katika kitu kigumu kuacha ni nicotine.
Wakakomaa wakaniambia kama imeshindikana, bas at least wacha kuvuta ganja kwanza af uache na mafegi pia.
Nkaskiliza ushauri, nkaacha ganja (9 yrs sober as of now), baadae nkaacha pombe (4 yrs sober now), sigara nmeamua tu kua pindi mwanangu atAkapozaliwa sitavuta tena. Ni nadhiri nlijowekea kua sitaki anikute bado nachoma.
To be honest bwana
Dr Matola PhD , jitahidi kwa nguvu zote kumkanya aache mapema kabla nicotine receptors hazijawa fully triggered. Ni ngumu kuacha chiga kuliko kuacha mitungi.
Cha muhim, wahi mapema, talk to him kistaarabu, tena ongea nae kama mtu mzima maana mostly watu wanaanza kuvuta fegi ili kupata ile feeling ya grandiosity among their peers, so ukiweza kuongea nae akaona kbsa kua umemconsider kama mtu mzima, then kias flan inaweza kusaidia kuacha mapema.
I wish you well mzee, hicho ni kipengele.