Swali: Hivi kwa sisi wazazi ukisikia mtoto wako wa kiume anavuta sigara, unamkanyaje?

Swali: Hivi kwa sisi wazazi ukisikia mtoto wako wa kiume anavuta sigara, unamkanyaje?

hata Mimi naweza kupiga ile ya kusindikizia kamnyweso.
Yaan wewe mwenyewe ni smoker alafu unamzuia dogo asismoke do you know what you mean Mzee mwenzangu ?

Km ni kutovutia nyumbani kwako tell him kwa upole nasisitiza kwa upole mwambie kavutie huko kwenye bar au pub au madukani usivutie nyumbani hapa unatuchafulia hali ya hewa au Jenga kwako uvute kwako, atakuelewa tu usitumie ubabe au mabavu uwe mpole

Nina maana yangu ninapokwambia hivyo naelewa you can't push him so don't push him, he will do more than what you don't think he can do ukimletea ubabe na ubwana jela atachochea KUNI mpaka usizozihitaji na mwisho wake ni majuto nyumba inaungua
 
Ikiwa unavuta kwanini inakusumbua mwanao kuvuta?

Mimi mzee hakuwa mnywaji wala mvutaji. Na wanae tumekua hivyo, na wanangu ingawa wadogo bado ila hawajawahi niona nimeshika pombe wala sigara.

Naamini lifestyle yangu ina ushawishi kwa wanangu
Kama itakuwa umenisoma vizuri Nyumbani kwangu sigara ni marufuku hata uwe ni rafiki yangu nakuheshimu kiasi gani ni big no.

Tukiwa kwenye vikao vyetu vya kukemea uzee hapo sigara ruksa hata Mimi naweza kuvuta kusindikiza kamnyeso.

Kumbuka Mimi si mvuta sigara wa kwenda dukani kununuwa sigara, Bali nikiwa kwenye shangwe ndio naweza kuvuta na inaishia huko, hakuna mtoto wangu yeyote anayejuwa kwamba huwa nagusa sigara.

Labda nikuweke wazi, my first born anamalizia masters yake University, huyu huwa nakaa naye tunapiga wote gambe ni adult tayari ila ni yeye mwenyewe aliamuwa kuunganisha masters baada ya first degree.

Nataka kuwa mkali sana kwa huyu wa high school kwa sababu yeye ndio mwenye bahati ya kwenda kusoma University akifanya vizuri form na kupasuwa vizuri.

Nayajuwa maisha vizuri, nimeanza maisha ya kupiga box mamtoni nikiwa Mdogo, nawajuwa age mates wangu ambao tulikuwa nao Uingereza walilipiwa ada na Wazazi wao na hawakurudi na vyeti Bongo.

Nimeuza asset zangu nyinyi ambazo nimezipata kwa machizi jasho na damu, sitaki kuona nainvest ujinga, Nina wadogo zao, nikishawatowa wao hata nikiishiwa nguvu wao ndio wa kuhakikisha wadogo zao wanapata quality education kama waliyopata wao.

Tena asiponisikiliza pesa yangu atakula last born wa kike na nitamkatia bima ya maisha yeye amalize form six aendelee kuvuta sigara vizuri.
 
Yaan wewe mwenyewe ni smoker alafu unamzuia dogo asismoke do you know what you mean Mzee mwenzangu ?

Km ni kutovutia nyumbani kwako tell him kwa upole nasisitiza kwa upole mwambie kavutie huko kwenye bar au pub au madukani usivutie nyumbani hapa unatuchafulia hali ya hewa au Jenga kwako uvute kwako, atakuelewa tu usitumie ubabe au mabavu uwe mpole

Nina maana yangu ninapokwambia hivyo naelewa you can't push him so don't push him, he will do more than what you don't think he can do ukimletea ubabe na ubwana jela atachochea KUNI mpaka usizozihitaji na mwisho wake ni majuto nyumba inaungua
You're listening too slowly, first born wangu sometimes napiga naye bia pamoja, ni adult anafanya masters, havuti sigara na hata kama anavuta kwa kificho huyu sina case naye.

Elewa vizuri napambana na nini?
 
Mzee mwenzangu Mimi nakuelewa sana Ila nnachokusihi usimpelekeshe km Bwana Jela, mweleweshe vizuri kwa upole atakuelewa tu hilo ndio la muhimu sio km unaweka nae uadui ushasema wewe mwenyewe hua unapiga puff mbili tatu kusindikizia kamnyweso uwapo kwenye vile viti virefu
 
Tayari nimeshazungumza naye, nashukuru kwa wote waliotowa ushauri.

Lakini elewa vizuri my concern, nampeleka huyu mtoto overseas kuchukuwa degree yake, nimeishi maisha ya overseas nikiwa Mdogo sana, naelewa vizuri mtoto kama hujamnyoosha nitapoteza mamilioni yangu halafu mtoto anarudi bila cheti Nyumbani.

Nimeishi na vijana wa aina hii ulaya Tena miaka ya 90's nikiwa kijana Mdogo sana sina mke wala mtoto, lakini hawa vijana hawakufanya kilichogharamiwa na Wazazi wao kuwasomesha Uingereza.

Nilibahatika kuingia Uingereza kwa Mara ya kwanza kama unakwenda Kenya tu, unakata ticket ukifika Heathrow London unagongewa entry Viza then ukishaingia maisha yanaendelea.

Lakini kwa sasa ni gharama kubwa mpaka mtoto anafika chuoni Uingereza, ndio sababu Niko very serious na hili.

Asipobadirika is better nimpeleke Mzumbe kule itakuwa ni bora zaidi.

Siku zinasonga mbele siwezi kuwa na nguvu na uwezo kama nilivyokuwa mwaka 2000, hapo ndio nilikuwa kwenye ubora wangu.
 
Km umeshazungumza nae ni Bora zaidi mkuu basi atakua amekuelewa na maneno yako yamemuingia na kuachana na tabia usizopendezwa nazo, kuhusu kumpeleka overseas mpeleke Ila mhimize asije akaenda kufanya tabia zisizofaa maana mwisho wake hautokua mzuri hapo baadae atakapomaliza masomo yake
 
Tufanye wewe ni mzazi ambaye unainvest pesa nyingi kwa mtoto ambaye bado hajafika University, just yuko high school na ameanza uvutaji wa Sigara kwa siri unafanyaje?

Watoto mkae pembeni kwanza, nataka kusikia maoni ya Wazazi, maana Watoto wa sasa sijui tuwalee kwa style ipi?

Cc: Dr Lizzy say something.
Hili ni suala ambalo kila mmoja anaweza kukujibu kulingana na mtizamo na experience. Ingawa mengi yanahitaji uelewa wako na kijana wako jinsi milivyojijengea kwenye kuongelea mambo hasi au chanya kwenye familia yenu.

Mchakato mzima utatakiwa kupitia humu kwa hali halisi. Mweleze mwanao kulingana na uelewa wako au usaidizi wa mtaalamu:

A: Uwezo wa kuishi bila kuvuta sigara kwa mifano halisi.

B: Madhira ya uvutaji sigara kwake kwa yale ya muda mfupi na mrefu pia madhara kwa wanaomzunguka.

6: Maamuzi ya pamoja kama waungwana kwa jambo husika.

7: Ueleze utayari wako kumsaidia ili aweze kuacha kuvuta sigara kama utahitajika kwa kushirikiaha wataalamu wa afya itakapoonekana inahitajika.

8: Ikumbuke kuacha au kutokuacha itategemea na uelewa au kutokuelewa kilicho chema zaidi. Pia kama atakuwa ameweewa vyema na kufanya maamzi itakuwa rahisi kuipita njia ya kuacha kwa kuwa mvumilivyu na craving ndogondogo au kubwa.

NB: Baada ya hapo utahitaji ufatiliaji binafsi na rejea toka kwake au rafiki zake. Pia mtizamo wake kwa ujumla. Counselling ni process hivyo juhudi za mara kwa mara ni muhimu.

Kutegemea na mwitikio basi unaweza kuchukua hatua zaidi kwa kadri ya mtoto husika na uelewa wake au juhusi kwenye utekelezaji.

Mafanikio mema na pole sana. Malezi ni kazi nzito.
 
Tufanye wewe ni mzazi ambaye unainvest pesa nyingi kwa mtoto ambaye bado hajafika University, just yuko high school na ameanza uvutaji wa Sigara kwa siri unafanyaje?

Watoto mkae pembeni kwanza, nataka kusikia maoni ya Wazazi, maana Watoto wa sasa sijui tuwalee kwa style ipi?

Cc: Dr Lizzy say something.
Pole
 
Back
Top Bottom