Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Aisee nakumbuka kaka yangu alivyomsumbuaga mama yangu tena yeye alikua anavuta bangi nachokumbuka walimuonya wakawa wanamuombea na wakamuhamishia mkoa mwingine na ilimsaidia yan alibadilika na kuacha hiyo tabiaTufanye wewe ni mzazi ambaye unainvest pesa nyingi kwa mtoto ambaye bado hajafika University, just yuko high school na ameanza uvutaji wa Sigara kwa siri unafanyaje?
Watoto mkae pembeni kwanza, nataka kusikia maoni ya Wazazi, maana Watoto wa sasa sijui tuwalee kwa style ipi?
Cc:
Mtafutie Jägermeister mpe anywe baada ya kula atakushukuru sana,Tufanye wewe ni mzazi ambaye unainvest pesa nyingi kwa mtoto ambaye bado hajafika University, just yuko high school na ameanza uvutaji wa Sigara kwa siri unafanyaje?
Watoto mkae pembeni kwanza, nataka kusikia maoni ya Wazazi, maana Watoto wa sasa sijui tuwalee kwa style ipi?
Cc: Dr Lizzy say something.
Mwalimu dunia ni Mbaya sana, anafundisha kwa njia ngumu sana ambazo mwanafunzi atapata uchungu kuliko wa mama yake aliyemzaa.Nilimgundua mimi mwenyewe kwamba ameanza kuvuta sigara.
Nikamwita nikakaa nae kistaarabu kabisa nikamuuliza sigara mpaka uikimbilie unapata faida gani?.
Nikamuuliza mimi navuta sigara. Akasema hapana. Vipi babaako mdogo umewahi kuona anavuta?. Akakataa pia. Nikamuuliza vipi ktk familia yote yangu kuna mtu umewahi kumuona anavuta? Akakataa.
Nikamwambia basi ujue yapo mambo ya kuiga na yapo mambo lazima uone yakupite hasa ukiangalia sisi tuliokutangulia. Kama unaona tume-fail mahala ktk kuwaendeleza nyinyi kuanzia kuvaa,kula,kusoma n.k basi ujue ksbb tulikuwa hatuvuti sigara. Ila kama unaona tumefauru kwa kila hatua kuhusiana na nyie wote basi ujue ksbb tulikuwa hatuvuti sigara na pombe pia.
Leo nimekuambia kistaarabu. Siku nyingine haitakuwa kistaarabu kama hivi. Hutanishinda wewe. Kwa hiyo jua umeanzisha vita na mara zote tukuanza ligi mimi na wewe sikubali kushindwa. Kama una hamu na sigara ksbb umeona unakupa faida utavuta ukiwa kwako. Sio ukiwa kwangu. Jiulize mara mbili.
Sikuwahi kumuona tena na hicho kitu
Hukuwahi kumuona sababu umemuonya Ila sio kwamba ameacha, wenyewe wana msemo wao unaitwa NEVER QUIT ukiingia umeingia hakuna kutokaSikuwahi kumuona tena na hicho kitu
Tafuta jukwaa la jokes, vijana wa hovyo hii thread mpite kimya kimya, mjifunze ni namna gani Wazazi tunaumia mnavyopotea pamoja na uwekezaji mkubwa wa pesa tunaowafanyia.Mtafutie Jägermeister mpe anywe baada ya kula atakushukuru sana,
Sana.Mwalimu dunia ni Mbaya sana, anafundisha kwa njia ngumu sana ambazo mwanafunzi atapata uchungu kuliko wa mama yake aliyemzaa.
Tafuta jukwaa la jokes, vijana wa hovyo hii thread mpite kimya kimya, mjifunze ni namna gani Wazazi tunaumia mnavyopotea pamoja na uwekezaji mkubwa wa pesa tunaowafanyia.
Tuliza mshono, stay away.
Ndugu hizo ni athari za makundi na malezi uvutaji wa sigara sio wake pekeake wapo wengi nyuma yake Cha muhimu ongea nae kirafiki akueleze shida na changamoto anazopitia ,chunguza marafiki na tabia zake binafsi then mpe muda ajitathmini baada ya hapo mmbadilishie mazingiraTufanye wewe ni mzazi ambaye unainvest pesa nyingi kwa mtoto ambaye bado hajafika University, just yuko high school na ameanza uvutaji wa Sigara kwa siri unafanyaje?
Watoto mkae pembeni kwanza, nataka kusikia maoni ya Wazazi, maana Watoto wa sasa sijui tuwalee kwa style ipi?
Cc: Dr Lizzy say something.
Mzee umemwambia ukweli mtupu withdrawal ya nicotine inauma balaa ukiacha fegi km hujaamia kwenye GIN kukata maumivu ya withdrawal sijui emu tupe feelings za fegi wewe hua unajisikiaje ukivuta na je unapenda kuvuta ukiwa umeshiba chakula au ukiwa hauna kitu tumboni, unapenda kuvuta ukiwa umekaa, umesimama au unatembea? Ipi Sigara unayopenda kuitumia nyota, ubalozi, sm au ston?sigara nmeamua tu kua pindi mwanangu atAkapozaliwa sitavuta tena
Kuna vipindi katika makuzi lazima apitie.. Kikubwa asiharibikiweTufanye wewe ni mzazi ambaye unainvest pesa nyingi kwa mtoto ambaye bado hajafika University, just yuko high school na ameanza uvutaji wa Sigara kwa siri unafanyaje?
Watoto mkae pembeni kwanza, nataka kusikia maoni ya Wazazi, maana Watoto wa sasa sijui tuwalee kwa style ipi?
Cc: Dr Lizzy say something.
Kituo kinachofuata ni BangiTufanye wewe ni mzazi ambaye unainvest pesa nyingi kwa mtoto ambaye bado hajafika University, just yuko high school na ameanza uvutaji wa Sigara kwa siri unafanyaje?
Watoto mkae pembeni kwanza, nataka kusikia maoni ya Wazazi, maana Watoto wa sasa sijui tuwalee kwa style ipi?
Cc: Dr Lizzy say something.