Kumekuchaaaaaaa!!! Nlitaka nishangae hili la upinde lisizungumzwe. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa afya ya future yake acha first degree aifanyie hapa hapa home! Kuhusu kuvuta sigara ni afadhali kubwa sana kuliko kama angekuwa na dalili za upinde
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa sigara na wee kimdharau inahusu nn? Km yuko smart na kazi zina muendea, anapungukiwa nn? Si unaumia mwenyewe ukute hata hajui km una mdharau, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe unashabikia yanga unataka mwanao afanye nini
Anyway Kuna jamaa namfahamu anafanya kazi NMB wilaya frani,ni very smart ila anakula chigga,kiukweli hua namdharau mnoooo
Tabia za foolish age hizo, Mzazi usipokaza kipindi hicho ndiyo unaweza poteza Mtoto, maana ndiyo umri wa makundi!!Nahitaji kufahamu umri wa huyo mtoto plz.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila watuu khaaah.Bora huyo analala na dada wa kazi, huyo ni rijali japo siyo tabia njema. Ungesikia analala na kijana mwenziye ungezimia
Ningefahamu umri wa huyo kijana wake ningechangia.Tabia za foolish age hizo, Mzazi usipokaza kipindi hicho ndiyo unaweza poteza Mtoto, maana ndiyo umri wa makundi!!
Dr Matola PhD, mbona formula ya Ubaba iko wazi kabisa, "as long you are under my roof,na Sheria za Baba ndiyo zitakua final kwenye mgogoro wowote ule! Na atakae jaribu kupinga maelekezo, Vikwazo vya kiuuchumi vinamuhusu ikiwepo na mpingaji ajitafutie mji wa kufanya mambo yake kwa uhuru!!Kwanza naomba nieleweke sina tatizo lolote na mtu yeyote anayevuta sigara.
Tatizo langu ukiwa bado dependant kwangu siwezi kufurahi kuona unavuta sigara bado upo shule na hauna kazi yoyote.
Mtoto akishatoka kwenye utegemezi wangu, amemaliza Chuo, amehama kwangu, ana maisha yake huyo ni ruksa kuvuta sigara, kunywa pombe kwakuwa tayari ni adult na ana maamuzi yake, siwezi kumuingilia.
Mara nyingi wanakua ni Teenager's!!Ningefahamu umri wa huyo kijana wake ningechangia.
It's really challenging kumfukuza mtoto nyumbani ambaye hajamaliza hata kidato cha Sita.Dr Matola PhD, mbona formula ya Ubaba iko wazi kabisa, "as long you are under my roof,na Sheria za Baba ndiyo zitakua final kwenye mgogoro wowote ule! Na atakae jaribu kupinga maelekezo, Vikwazo vya kiuuchumi vinamuhusu ikiwepo na mpingaji ajitafutie mji wa kufanya mambo yake kwa uhuru!!
Ni sawa, je miaka mingapi??Mara nyingi wanakua ni Teenager's!!
Safi sana[emoji106]Nilimgundua mimi mwenyewe kwamba ameanza kuvuta sigara.
Nikamwita nikakaa nae kistaarabu kabisa nikamuuliza sigara mpaka uikimbilie unapata faida gani?.
Nikamuuliza mimi navuta sigara. Akasema hapana. Vipi babaako mdogo umewahi kuona anavuta?. Akakataa pia. Nikamuuliza vipi ktk familia yote yangu kuna mtu umewahi kumuona anavuta? Akakataa.
Nikamwambia basi ujue yapo mambo ya kuiga na yapo mambo lazima uone yakupite hasa ukiangalia sisi tuliokutangulia. Kama unaona tume-fail mahala ktk kuwaendeleza nyinyi kuanzia kuvaa,kula,kusoma n.k basi ujue ksbb tulikuwa hatuvuti sigara. Ila kama unaona tumefauru kwa kila hatua kuhusiana na nyie wote basi ujue ksbb tulikuwa hatuvuti sigara na pombe pia.
Leo nimekuambia kistaarabu. Siku nyingine haitakuwa kistaarabu kama hivi. Hutanishinda wewe. Kwa hiyo jua umeanzisha vita na mara zote tukuanza ligi mimi na wewe sikubali kushindwa. Kama una hamu na sigara ksbb umeona unakupa faida utavuta ukiwa kwako. Sio ukiwa kwangu. Jiulize mara mbili.
Sikuwahi kumuona tena na hicho kitu
Wwe kuna mitoto mingine hata Mzazi aseme vp pamoja na kutumia viongozi wa Dini lakini toto halisikii, ndiyo kwanza kila siku unaitwa police au Serekali za mita na kwa Mjumbe kesha haribu huko! Mtoto wa kusikia hata hutumii nguvu kubwa kumuekewesha na akakuelewa!!It's really challenging kumfukuza mtoto nyumbani ambaye hajamaliza hata kidato cha Sita.
By the way ni jambo lakumuonya tu.
Kama Baba asipokusikia ni kumhandle polepole
Heshima nyingi kwako mkuuNilimgundua mimi mwenyewe kwamba ameanza kuvuta sigara.
Nikamwita nikakaa nae kistaarabu kabisa nikamuuliza sigara mpaka uikimbilie unapata faida gani?.
Nikamuuliza mimi navuta sigara. Akasema hapana. Vipi babaako mdogo umewahi kuona anavuta?. Akakataa pia. Nikamuuliza vipi ktk familia yote yangu kuna mtu umewahi kumuona anavuta? Akakataa.
Nikamwambia basi ujue yapo mambo ya kuiga na yapo mambo lazima uone yakupite hasa ukiangalia sisi tuliokutangulia. Kama unaona tume-fail mahala ktk kuwaendeleza nyinyi kuanzia kuvaa,kula,kusoma n.k basi ujue ksbb tulikuwa hatuvuti sigara. Ila kama unaona tumefauru kwa kila hatua kuhusiana na nyie wote basi ujue ksbb tulikuwa hatuvuti sigara na pombe pia.
Leo nimekuambia kistaarabu. Siku nyingine haitakuwa kistaarabu kama hivi. Hutanishinda wewe. Kwa hiyo jua umeanzisha vita na mara zote tukuanza ligi mimi na wewe sikubali kushindwa. Kama una hamu na sigara ksbb umeona unakupa faida utavuta ukiwa kwako. Sio ukiwa kwangu. Jiulize mara mbili.
Sikuwahi kumuona tena na hicho kitu
Ni wa mwaka 2000. Hapo nilipomhisi harufu ya sigara alikuwa kidato cha tano mwaka 2017,18 hapo. Nakumbuka alikuwa kidato cha tano. Kwa sasa niko nae shopNahitaji kufahamu umri wa huyo mtoto plz.
Ikiwa unavuta kwanini inakusumbua mwanao kuvuta?Nyumbani kwangu ni no smoking zone, iko hivyo miaka yote hata uwe rafiki yangu sigara Nyumbani kwangu ni marufuku utavutia nje au subiri tukifika pub hata Mimi naweza kupiga ile ya kusindikizia kamnyweso.
Vizuri sana[emoji122]Nilimgundua mimi mwenyewe kwamba ameanza kuvuta sigara.
Nikamwita nikakaa nae kistaarabu kabisa nikamuuliza sigara mpaka uikimbilie unapata faida gani?.
Nikamuuliza mimi navuta sigara. Akasema hapana. Vipi babaako mdogo umewahi kuona anavuta?. Akakataa pia. Nikamuuliza vipi ktk familia yote yangu kuna mtu umewahi kumuona anavuta? Akakataa.
Nikamwambia basi ujue yapo mambo ya kuiga na yapo mambo lazima uone yakupite hasa ukiangalia sisi tuliokutangulia. Kama unaona tume-fail mahala ktk kuwaendeleza nyinyi kuanzia kuvaa,kula,kusoma n.k basi ujue ksbb tulikuwa hatuvuti sigara. Ila kama unaona tumefauru kwa kila hatua kuhusiana na nyie wote basi ujue ksbb tulikuwa hatuvuti sigara na pombe pia.
Leo nimekuambia kistaarabu. Siku nyingine haitakuwa kistaarabu kama hivi. Hutanishinda wewe. Kwa hiyo jua umeanzisha vita na mara zote tukuanza ligi mimi na wewe sikubali kushindwa. Kama una hamu na sigara ksbb umeona unakupa faida utavuta ukiwa kwako. Sio ukiwa kwangu. Jiulize mara mbili.
Sikuwahi kumuona tena na hicho kitu
Sasa ukuu sio kushika bakora na kumtandika kisa tabia yake iliyopotoka jiulize ana miaka 2 au amevuka miaka 18 ?kuna wakati ni lazima usimame kama mkuu wa familia