Swali: Hivi ni nani aliyetufundisha Waafrika kula rushwa na kufanya ufisadi?

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
15,486
Reaction score
45,256
Habari!

Karibu nchi zote za Afrika rushwa na ufisadi viko katika kilele. Hata hapa ninapoandika wasomaji wengi mmewahi kutoa au kupokea rushwa. Haijalishi ulitoa elfu 5 ya brush kwa afande Juma ulipozidisha mwendokasi au ulitoa elfu 10 kwa mhudumu wa mahakama akugongee muhuri documents zako kwa haraka.

Binafsi hata leseni yangu ya udereva niliipata kwa njia za panya, ingawa baadaye nikaenda driving school.

Nilikuwa JKT mwaka fulani, sasa kila ninayemuhoji kafikaje JKT ananiambia ametoa laki 8, mwingine millioni 1, mwingine laki 5, mwingine 1.5 million, mwingine kaletewa fomu na kaka yake afisa wa JKT, mwingine kaletewa fomu na baba mdogo afisa JWTZ.

Nani katufunza kula rushwa?
 
Hili jipya hata shetani hajui rushwa ni nini[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wapigania uhuru. Wasomi walipigania uhuru si ili kutukomboa bali ili waishi kama wakoloni/wazungu. Sasa walipopata uhuru wakaona hakuna namna ya kuishi kama wazungu zaidi ya kula rushwa.
 
Habari!

Karibu nchi zote za Afrika rushwa na ufisadi viko katika kilele. Hata hapa ninapoandika wasomaji wengi mmewahi kutoa au kupokea rushwa. Haijalishi ulitoa elfu 5 ya brush kwa afande Juma ulipozidisha mwendokasi au ulitoa elfu 10 kwa mhudumu wa mahakama akugongee muhuri documents zako kwa haraka.

Binafsi hata leseni yangu ya udereva niliipata kwa njia za panya, ingawa baadaye nikaenda driving school.

Nilikuwa JKT mwaka fulani, sasa kila ninayemuhoji kafikaje JKT ananiambia ametoa laki 8, mwingine millioni 1, mwingine laki 5, mwingine 1.5 million, mwingine kaletewa fomu na kaka yake afisa wa JKT, mwingine kaletewa fomu na baba mdogo afisa JWTZ.

Nani katufunza kula rushwa?
Kuna mwanafunzi aliwahi kuniambia "ticha hakikisha unanifundisha hadi naelewa ili nifaulu nije kuwa mpigaji na Mimi"
 
Habari!

Karibu nchi zote za Afrika rushwa na ufisadi viko katika kilele. Hata hapa ninapoandika wasomaji wengi mmewahi kutoa au kupokea rushwa. Haijalishi ulitoa elfu 5 ya brush kwa afande Juma ulipozidisha mwendokasi au ulitoa elfu 10 kwa mhudumu wa mahakama akugongee muhuri documents zako kwa haraka.

Binafsi hata leseni yangu ya udereva niliipata kwa njia za panya, ingawa baadaye nikaenda driving school.

Nilikuwa JKT mwaka fulani, sasa kila ninayemuhoji kafikaje JKT ananiambia ametoa laki 8, mwingine millioni 1, mwingine laki 5, mwingine 1.5 million, mwingine kaletewa fomu na kaka yake afisa wa JKT, mwingine kaletewa fomu na baba mdogo afisa JWTZ.

Nani katufunza kula rushwa?
Ulafi na tamaa zetu wenyewe
Hatukufundishwa na yeyote.
 
Kaka/dada hoja ni rushwa , wewe unakimbilia Cdm !!.

Wewe kama ni wa kike ndoa lazima ikushinde. Na kama ni wa kiume lazima uwe Mbeya
Una shida kichwani!

Rushwa haiwahusu chadema?

Unaona Lowasa kutoa mabilioni ili agombee urais kupitia chadema siyo rushwa?
 
Back
Top Bottom