Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Nikikumbuka marehem John Pombe Magufuli bila aibu aliiba rambirambi Nashindwa kumwelewa muafrika kabisa. Wewe ni rais hadi hazina iko chini yako. Kuna watu waliumbwa kuwa weziNikikumbuka jinsi Lowasa alivyoinunua chadema huwa najisemea bora ccm iendelee kutawala tu
Nikikumbuka jinsi Lowasa alivyoinunua chadema huwa najisemea bora ccm iendelee kutawala tu
Mwingine akahongwa na Amstwrdam eti akawa anampigania awe rais!Nikikumbuka marehem John Pombe Magufuli bila aibu aliiba rambirambi Nashindwa kumwelewa muafrika kabisa. Wewe ni rais hadi hazina iko chini yako. Kuna watu waliumbwa kuwa wezi
Kuna mwanafunzi aliwahi kuniambia "ticha hakikisha unanifundisha hadi naelewa ili nifaulu nije kuwa mpigaji na Mimi"Habari!
Karibu nchi zote za Afrika rushwa na ufisadi viko katika kilele. Hata hapa ninapoandika wasomaji wengi mmewahi kutoa au kupokea rushwa. Haijalishi ulitoa elfu 5 ya brush kwa afande Juma ulipozidisha mwendokasi au ulitoa elfu 10 kwa mhudumu wa mahakama akugongee muhuri documents zako kwa haraka.
Binafsi hata leseni yangu ya udereva niliipata kwa njia za panya, ingawa baadaye nikaenda driving school.
Nilikuwa JKT mwaka fulani, sasa kila ninayemuhoji kafikaje JKT ananiambia ametoa laki 8, mwingine millioni 1, mwingine laki 5, mwingine 1.5 million, mwingine kaletewa fomu na kaka yake afisa wa JKT, mwingine kaletewa fomu na baba mdogo afisa JWTZ.
Nani katufunza kula rushwa?
Kuna mwanafunzi aliwahi kuniambia "ticha hakikisha unanifundusha hadi naelewa ili nifaulu nije kuwa mpigaji na Mimi"
Ilikuwa tuition,Pre-form five,Table teaching. Mwaka 2019Dah.
Huyo mwanafunzi ni wa level gani?
Wewe ni mtupu sana.Nikikumbuka jinsi Lowasa alivyoinunua chadema huwa najisemea bora ccm iendelee kutawala tu
Aibu zaidi ya ile ya chama kuuzwa?Wewe ni mtupu sana.
Shule ulioisomea ni aibu tupu.
Mwingine Pre-form one juzi juzi tu kaniuliza "eti mwalimu hakuna kozi ya kusomea utapeli au wizi wa benki?"Dah.
Huyo mwanafunzi ni wa level gani?
EheheheheMwingine Pre-form one juzi juzi tu kaniuliza "eti mwalimu hakuna kozi ya kusomea utapeli au wizi wa benki?"
Kaka/dada hoja ni rushwa , wewe unakimbilia Cdm !!.Aibu zaidi ya ile ya chama kuuzwa?
Ndio kizazi tulichoamua kukizalisha kwa kupitia matendo yetuEhehehehe
Huyo sasa kazidi
Ulafi na tamaa zetu wenyeweHabari!
Karibu nchi zote za Afrika rushwa na ufisadi viko katika kilele. Hata hapa ninapoandika wasomaji wengi mmewahi kutoa au kupokea rushwa. Haijalishi ulitoa elfu 5 ya brush kwa afande Juma ulipozidisha mwendokasi au ulitoa elfu 10 kwa mhudumu wa mahakama akugongee muhuri documents zako kwa haraka.
Binafsi hata leseni yangu ya udereva niliipata kwa njia za panya, ingawa baadaye nikaenda driving school.
Nilikuwa JKT mwaka fulani, sasa kila ninayemuhoji kafikaje JKT ananiambia ametoa laki 8, mwingine millioni 1, mwingine laki 5, mwingine 1.5 million, mwingine kaletewa fomu na kaka yake afisa wa JKT, mwingine kaletewa fomu na baba mdogo afisa JWTZ.
Nani katufunza kula rushwa?
Una shida kichwani!Kaka/dada hoja ni rushwa , wewe unakimbilia Cdm !!.
Wewe kama ni wa kike ndoa lazima ikushinde. Na kama ni wa kiume lazima uwe Mbeya