Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 15,989
- 22,078
Cdm haijawahi kufanya mabaya kama uongozi wa Ccm kwa ujumla wake.Una shida kichwani!
Rushwa haiwahusu chadema?
Unaona Lowasa kutoa mabilioni ili agombee urais kupitia chadema siyo rushwa?
Kwa sababu hiyo basi chadema wakijilia mihela ya kuhongwa ni sawa tu?Cdm haijawahi kufanya mabaya kama uongozi wa Ccm kwa ujumla wake.
Waliotuingiza mikataba mibovu si Cdm ni Ccm . Na kikubwa hapo ni rushwa nothing else. Waliokubaliana na umadikini wa wananchi ni Ccm na si Cdm
Bado anaimiliki au kauza nae?Nikikumbuka jinsi Lowasa alivyoinunua chadema huwa najisemea bora ccm iendelee kutawala tu
Baada ya kukosa alichotaka akawadampo matokeo yake wana mbunge wa kuchaguliwa mmojaBado anaimiliki au kauza nae?
Upigaji nao una raha yake Ila usikamatweKuna mwanafunzi aliwahi kuniambia "ticha hakikisha unanifundisha hadi naelewa ili nifaulu nije kuwa mpigaji na Mimi"
Kwahiyo hata sir God anapenda rushwa?Kila kitu kwenye maisha ni Rushwa!sema Tafsiri tu ndio tunakwama!!!HUWEZI PEWA HUDUMA YEYOTE ILE BILA KUTOA CHOCHOTE KIKE!!!HAJA BARAKA HUJA BAADA YA KUTOA!!!!
Ndio bila kutoa hupokei!!kwanin ndio mahubiri ya sasa na zamani???toa upewe ukiwa mchoyo tu hupokei!!!Kwahiyo hata sir God anapenda rushwa?
Kama ni hivyo watu wangekuwa waoga sana lakini wapi... labda huko wanakonyongana kwa vitanziUpigaji nao una raha yake Ila usikamatwe
Hizi kauli ndizo zinaturushisha nyuma kimaendeleo, sasa jiulize serikalini kuna mbuzi wa ngapi?Kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake...
Hivi alivyorudi ccm alirudishiwa pesa zake?.Nikikumbuka jinsi Lowasa alivyoinunua chadema huwa najisemea bora ccm iendelee kutawala tu
Ungeenda nawewe ukaliwe.Kwa sababu hiyo basi chadema wakijilia mihela ya kuhongwa ni sawa tu?