Swali: Ikitokea mtu akapelekwa ICC, je Makamu wake anapona?

Swali: Ikitokea mtu akapelekwa ICC, je Makamu wake anapona?

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
Just for curiosity! Anaweza kuwa treated as an accomplice?
Kama Mods will spare this let us educate each other
 
Makamu anapona Ema, hakuwa na madaraka mpaka wakati mauaji yanatokea. Ila Mpango hachomoi.
Ema hakuwa na madaraka/hakuwa na kiapo.
 
Just for curiosity! Anaweza kuwa treated as an accomplice?
Kama Mods will spare this let us educate each other
Kwan kesi itakua ni ipi? Makamu wake alikua na uwezo wa kuamrisha Nan afanye nn? Na alikua na cheo gani Cha kufanya jambo la kufanya aende ICC?
 
makamu wa raisi tanzagiza kazi yake ni kusubiri uraisi tu ikitokea dharura kwa raisi aliyepo, labda kama kipindi cha mauaji alikabidhiwa nchi na kuwa commander in chief, vinginevyo hahusiki, hili muusika ni mkuu wa nchi peke yake sana sana waziri wa wizara husika kama mambo ya ndani, wakuu wa vyombo vya usalama ambavyo vina jukumu la kulinda raia.

duterte alipelekwa peke yake icc kama raisi wa nchi, na sasa hivi yuko ndani kwa mauaji …
 
Kama atapatwa na hatia.Yes.
Ila Cheo na matumizi yake hilo ni swala jingine.
 
Tutawaambia tu ICC kwamba Makamu wa Rais wa Tanzania kazi yake kubwa ni kutembea na Mkasi ili akate nailoni za ufunguzi.... tofauti na hapo ni kumuonea tu.
 
Back
Top Bottom