Makamu yupi nchimbi au mpango?!Just for curiosity! Anaweza kuwa treated as an accomplice?
Kama Mods will spare this let us educate each other
Kwan kesi itakua ni ipi? Makamu wake alikua na uwezo wa kuamrisha Nan afanye nn? Na alikua na cheo gani Cha kufanya jambo la kufanya aende ICC?Just for curiosity! Anaweza kuwa treated as an accomplice?
Kama Mods will spare this let us educate each other
Yoyote......au woteMakamu yupi nchimbi au mpango?!
Most likelyMakamu anapona Ema, hakuwa na madaraka mpaka wakati mauaji yanatokea. Ila Mpango hachomoi.
Ema hakuwa na madaraka/hakuwa na kiapo.
πππ Kwa Philipo Mpango tutakuwa tunamuonea bure!Tutawaambia tu ICC kwamba Makamu wa Rais wa Tanzania kazi yake kubwa ni kutembea na Mkasi ili akate nailoni za ufunguzi.... tofauti na hapo ni kumuonea tu.