Comments zako zinaonesha wewe ni mdangaji na ni hulka ya Malaya kutumia nguvu kubwa kujisafisha! Matusi hayasaidii ila sie ni vioo ili ujione uso wako ulivyo.Kama ni mtihani ushapata division 0
Hauko tofauti na Aslay alieenda London hakupata faida akadondosha mamilioni ya hasara. .. sikunyingine Tumia akili kabla hujacomment
i seeYa TATAKI(Taasisi ya taaluma za kiswahili) ambayo zamani ilikuwa inaitwa TUKI(Taasisi ya uchunguzi wa kiswahili) ni toleo la tatu
Sent using Jamii Forums mobile app
AISEE!Comments zako zinaonesha wewe ni mdangaji na ni hulka ya Malaya kutumia nguvu kubwa kujisafisha! Matusi hayasaidii ila sie ni vioo ili ujione uso wako ulivyo.
wewe unaweza kumwambia mama yako mama nenda kadange?danga ni kilimo cha kisasa
hapana.wewe unaweza kumwambia mama yako mama nenda kadange?
hio maana uliotoa basi siohapana.
Dah [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]wewe unaweza kumwambia mama yako mama nenda kadange?
hahahahaDah [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hii ni moja kati ya characteristics za wadangaji! Rudia kusoma sredi zako utaona unavyosaka wanaume kwa nguvu (uchangu). Tumekuvumilia ila uvumilivu una mwisho wake. JitafakariAISEE!
MWENYEWE UNAJIONA MWAAAMBA
KAMA WEWE MWAMBA NILETEE RISITI YA MAHALI NA KITUO NILICHOFANYA UDANGA
LA SIVYO TUNAKUONA "LEPUT AU MAHER"... Unajifurahisha nafsi yako kumbe hamna kitu
LETE RISITI MJOMBA kama huna Funga domo lako
kanigawe kwa Mheshimiwa Mama?Hii ni moja kati ya characteristics za wadangaji! Rudia kusoma sredi zako utaona unavyosaka wanaume kwa nguvu (uchangu). Tumekuvumilia ila uvumilivu una mwisho wake. Jitafakari
Unajua kuna mvurugano mtaani unaosema Danga
Kila kona Habari ya Mujini ni Kudanga
Wanamziki wakaimba kuhusu Danga
Naomba Tusaidiane mpaka mtu anaitwa Danga anakuwa mtu wa namna gani? !
Danga ni Nani? ! Nataka kuelewa zaidi
si anaitwa Shamsa Ford?!Danga nimjuaye mimi ni Shamsa Danga tu.
kama umechoka kakojoe ukalale!Hii ni moja kati ya characteristics za wadangaji! Rudia kusoma sredi zako utaona unavyosaka wanaume kwa nguvu (uchangu). Tumekuvumilia ila uvumilivu una mwisho wake. Jitafakari
si anaitwa Shamsa Ford?!
sikuhizi anaitwa Shamsa Danga?
Mkuu inaitwa Danga au Dang'a?Danga kwa Kiswahili fasaha ni MAZIWA YA KWANZA KABISA YA BINADAMU AU MNYAMA ambayo huwa ni chakula na kinga kwa mtoto au ndama. Maziwa haya huwa ya njano.
sawa sawa nimekuelewa boss!Kun mdada anaitwa Shamsa Danga wa kipindi cha Danga Cheee…..huyu hapa na wala si kuwadi kama huyo Shamsa Ford wako:
hihihiMkuu inaitwa Danga au Dang'a?