Swali: Jamani Danga ni Nani?!

Swali: Jamani Danga ni Nani?!

Kama ni mtihani ushapata division 0
Hauko tofauti na Aslay alieenda London hakupata faida akadondosha mamilioni ya hasara. .. sikunyingine Tumia akili kabla hujacomment
Comments zako zinaonesha wewe ni mdangaji na ni hulka ya Malaya kutumia nguvu kubwa kujisafisha! Matusi hayasaidii ila sie ni vioo ili ujione uso wako ulivyo.
 
AISEE!
MWENYEWE UNAJIONA MWAAAMBA
KAMA WEWE MWAMBA NILETEE RISITI YA MAHALI NA KITUO NILICHOFANYA UDANGA
LA SIVYO TUNAKUONA "LEPUT AU MAHER"... Unajifurahisha nafsi yako kumbe hamna kitu

LETE RISITI MJOMBA kama huna Funga domo lako
 
Hii ni moja kati ya characteristics za wadangaji! Rudia kusoma sredi zako utaona unavyosaka wanaume kwa nguvu (uchangu). Tumekuvumilia ila uvumilivu una mwisho wake. Jitafakari
 
kanigawe kwa Mheshimiwa Mama?
kwani JF naonekana pekeyangu?
hahahaha u sound funny maam! pole kwa kuwa star kwako!
 
Unajua kuna mvurugano mtaani unaosema Danga

Kila kona Habari ya Mujini ni Kudanga

Wanamziki wakaimba kuhusu Danga

Naomba Tusaidiane mpaka mtu anaitwa Danga anakuwa mtu wa namna gani? !

Danga ni Nani? ! Nataka kuelewa zaidi

Danga nimjuaye mimi ni Shamsa Danga tu.
 
Hii ni moja kati ya characteristics za wadangaji! Rudia kusoma sredi zako utaona unavyosaka wanaume kwa nguvu (uchangu). Tumekuvumilia ila uvumilivu una mwisho wake. Jitafakari
kama umechoka kakojoe ukalale!
 
Back
Top Bottom