Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
- Thread starter
- #61
shemeji unaongea na mimi au JF?Ni kweli ukiniona kwenye uzi wako huwa unapata kichefuchefu kama wanavyodai?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
shemeji unaongea na mimi au JF?Ni kweli ukiniona kwenye uzi wako huwa unapata kichefuchefu kama wanavyodai?
HAHAHAHAHHAHHADanga ni nchi ya viwanda
Subiri vinakuja
Shemeji kaka hayupo naomba nionje hapo kidogo!shemeji unaongea na mimi au JF?
Nenda Dodoma wanatoa bure!Shemeji kaka hayupo naomba nionje hapo kidogo!
Shemeji wale wanahudumia wabunge!Nenda Dodoma wanatoa bure!
Nipo London shem, namshangaa Aslay na Ben Paul!Shemeji wale wanahudumia wabunge!
hahahahah.., SAWA ASANTEDanga,,,,ni ukahaba au kuuza nyapu
Shem umeandikaje tena?Aiseee niambua kitu humu
Nasikia awa jaza ukumbi nikweli ShemNipo London shem, namshangaa Aslay na Ben Paul!
WATU 100 SHEMNasikia awa jaza ukumbi nikweli Shem
Kila mtu aliyetimamu hukojoa na hulala. Bora ukajitafakari uchukue hatua za kujirekebisha na makala zako za kichangu na kuonesha wewe ni mteja wa Mombasa nk. Wakati ndiyo huu mamitokama umechoka kakojoe ukalale!
utapata tabu sanaKila mtu aliyetimamu hukojoa na hulala. Bora ukajitafakari uchukue hatua za kujirekebisha na makala zako za kichangu na kuonesha wewe ni mteja wa Mombasa nk. Wakati ndiyo huu mamito
Wewe si bure inaonesha kuna nati haipo sawa. Nitakusaidiautapata tabu sana
kipigo chako kitakuwa kama cha mbwa koko
OK aliweka maiti yake kwenye kikapu harafu akabeba kikapu chake akaondokadanga ni mtu aliyejiua alipoona amekufa akakimbia
kama zako zilivyochomoka zoteWewe si bure inaonesha kuna nati haipo sawa. Nitakusaidia