BANDOKITITA
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 1,484
- 2,852
Mbunge anatumika miaka mitano, anachukua (250m?) yoteeee. Mtumishi anatumika 30+yrs anachukua 40% tu ambayo huenda haifiki hata 100m.Kwanini wao wanaohudumia muda mfupi wanachukua chao choteee, tena kikubwa sana, mtumishi miaka yote hiyo apewe 40% tu?? Ni ndogo
Ulisikia wapi mfanyakazi ana haki?Leo waziri mwenye madhamana na fedha za Watanzania kasema bungeni kuwa KIKOKOTOO kimepanda 7% meaning that now is 40%. Swali ni je hiyo % ndiyo wafanyakazi walikuwa wanahitaji au walihitaji kurudishwa kwa KIKOKOTOO cha zamani (50%/50%). Na je vipi kuhusu kupunguza miaka na masharti mapya mengi waliyoingiza kwenye KIKOKOTOO kipya?
Wafanyakazi kazi kwenu, mmelia mmesikilizwa
NakaziaWafanyakazi wanataka 100% kama ifanykvyo kwa wabunge.
Bado 40% ni uhuni.
Wasukuma wanasema "ambo ambo"! Ahahahahaha!!!Tunamshukuru Waziri wa Fedha kufanya maboresho ya kikokotoo,Hongera Rais hongera Serikali. Wengine mnasemaje tujadili bila mihemko.
serikali imesikiliza watumishi na kuzingatia maoni yao, na itaendelea kuwaskiza na kujadiliana nao kupitia vyama vyao vya wafanyakazi ili hatimae kama kuna jambo jengine la maana, basi mashauriano yafanyike wakati wanaendelea kuwajibika katika kuwatumikia wanainchi 🐒Leo waziri mwenye madhamana na fedha za Watanzania kasema bungeni kuwa KIKOKOTOO kimepanda 7% meaning that now is 40%. Swali ni je hiyo % ndiyo wafanyakazi walikuwa wanahitaji au walihitaji kurudishwa kwa KIKOKOTOO cha zamani (50%/50%). Na je vipi kuhusu kupunguza miaka na masharti mapya mengi waliyoingiza kwenye KIKOKOTOO kipya?
Wafanyakazi kazi kwenu, mmelia mmesikilizwa
Ili uwe pensionable inabidi uchangie miezi isiopungua 180. Ikiwa umechangia miezi chini ya 180 na umefikia kustaafu unapewa mzigo wote na hutapata zile hela za mwezi mwezi(pension).Kwanini wao wanaohudumia muda mfupi wanachukua chao choteee, tena kikubwa sana, mtumishi miaka yote hiyo apewe 40% tu?? Ni ndogo
Wewe itakuwa ulikuwa husikilizi hotuba ila umekuja humu kupiga kelele tu kama debe tupu. Waziri kasema kabisa watalipwa wote kuanzia mwaka wa fedha 22/23. Msifate mihemko ya mitandaoni, fatilieni mambo.Swali la ufahamu je waliolipwa kwa asilimia 33% watarudishiwa iyo 7% yao??
Ila utumishi wa umma unakua kama mateso tu.
Huku wao wabunge wanachukua fedha zao zote leo ma sisiem wamesikia kimepanda 40% yamepuga makofi.
Unafiki unafiki.
Wewe inabidi kwanza ujue kutofautisha kati ya PSSF na NSSF. alafu ndo uje kujifunza tena hayo maswala unayoyaongelea. Wengi wenu naona mna mihemko ya kuchangia ila kinachopigiwa kelele hamkijui kwa undani.Ili uwe pensionable inabidi uchangie miezi isiopungua 180. Ikiwa umechangia miezi chini ya 180 na umefikia kustaafu unapewa mzigo wote na hutapata zile hela za mwezi mwezi(pension).
Hii niliambiwa na mfanyakazi wa NSSF,mimi natarajia 100% kwani nitafikisha umri wa kustaafu na sijachangia miezi 180.
ILA Wabunge naona hata wale ambao hawajafikia umri wa kustaafu wanabeba 100%.
Kuna muda unachokitaka ukikikosa inabidi upende unachokipata. 40/60 sio mbaya in such, peovided kwamba tulikuwa kwenye 33/67.Leo waziri mwenye madhamana na fedha za Watanzania kasema bungeni kuwa KIKOKOTOO kimepanda 7% meaning that now is 40%. Swali ni je hiyo % ndiyo wafanyakazi walikuwa wanahitaji au walihitaji kurudishwa kwa KIKOKOTOO cha zamani (50%/50%). Na je vipi kuhusu kupunguza miaka na masharti mapya mengi waliyoingiza kwenye KIKOKOTOO kipya?
Wafanyakazi kazi kwenu, mmelia mmesikilizw
Sawa.Wewe inabidi kwanza ujue kutofautisha kati ya PSSF na NSSF. alafu ndo uje kujifunza tena hayo maswala unayoyaongelea. Wengi wenu naona mna mihemko ya kuchangia ila kinachopigiwa kelele hamkijui kwa undani.