wabunge huhudumu kwa miaka mitano pekee, na hakuna uhakika wa kurejea mjengoni tena, tofauti na watumishi wa umma wenye mikataba ya kudumu,
na kwahivyo kikokotoo cha ajira ya kudumu na ajira ya muda tena ni mkataba wa muda kwa ushindani wa kura wenye kuhusisha gharama kubwa mno kuitumikia ajira yenyewe lakini pia kuipata ajira yenyewe kwa mujibu wa sheria,
so, gentleman,
ni vizuri kuelewa implications utofauti wa ajira zenyewe kati ya ajira ya kudumu kwa mtumishi wa umma na ajira ya muda maalumu ya mbunge 🐒