mambo yote ya fedha yanakwenda kwa utaratibu, na yanafanyika kwa uwazi bila kificho ndio maana hata kabla ya kuajiriwa mtumishi anafahamu wazi atalipwa mafao yake kwa mtindo gani....
hata hivyo,
hapajawahi kua na tatizo lolote baina ya Serikali na watumishi wa umma ispokua kutokuridhika kwa baadhi ya watumishi wachache na wanasiasa waliokosa hoja, sera na uelekeo kuhusu kiawango cha asilimia ya mafao ya watumishi wanaostaafu....
hapakua na dosari wala changamoto ispokua hilo la asilimia tu, kwasababu tangu kuanzishwa kwa mfuko huo malipo ya mkupuo huwa ni 50% mbona hapajawahi kua na malalamiko ya 100%?🐒