Ndio watumishi wa umma wengine wamekuwa weziSwali la ufahamu je waliolipwa kwa asilimia 33% watarudishiwa iyo 7% yao?
Ila utumishi wa umma unakua kama mateso tu.
Huku wao wabunge wanachukua fedha zao zote leo ma sisiem wamesikia kimepanda 40% yamepuga makofi.
Unafiki unafiki.
Tatizo pesa za watumishi zinazokatwa ktk mishahara na kukusanywa na serikali zimekuwa km hisani kwa mtumishi na siyo haki yake kupewa pindi anapozihitaji baada ya kustaafu. Inakuwaj serikali inampangia matumizi mtu mzima (60 yrs old).serikali imesikiliza watumishi na kuzingatia maoni yao, na itaendelea kuwaskiza na kujadiliana nao kupitia vyama vyao vya wafanyakazi ili hatimae kama kuna jambo jengine la maana, basi mashauriano yafanyike wakati wanaendelea kuwajibika katika kuwatumikia wanainchi 🐒
Wanasiasa ni watu wenye roho mbaya na wanaubinafsi usiopimika.Mbunge anatumika miaka mitano, anachukua (250m?) yoteeee. Mtumishi anatumika 30+yrs anachukua 40% tu ambayo huenda haifiki hata 100m.
Kweli wanasiasa hawaioni mbingu.
spana za Lisu. Asante lisuLeo waziri mwenye madhamana na fedha za Watanzania kasema bungeni kuwa KIKOKOTOO kimepanda 7% meaning that now is 40%. Swali ni je hiyo % ndiyo wafanyakazi walikuwa wanahitaji au walihitaji kurudishwa kwa KIKOKOTOO cha zamani (50%/50%). Na je vipi kuhusu kupunguza miaka na masharti mapya mengi waliyoingiza kwenye KIKOKOTOO kipya?
Wafanyakazi kazi kwenu, mmelia mmesikilizwa.
PIA SOMA
- Hatimaye kikokotoo chalegezwa, Serikali imepandisha Malipo ya Mkupuo kwa Wastaafu kutoka 33% hadi 40%
- News Alert: - Waziri Mwigulu awasilisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025
Kenge kabisahiyo 7% kenge nyie!!!
Safari ni hatua ,safari Moja huanzisha nyingine Kwa mujibu wa TBLLeo waziri mwenye madhamana na fedha za Watanzania kasema bungeni kuwa KIKOKOTOO kimepanda 7% meaning that now is 40%. Swali ni je hiyo % ndiyo wafanyakazi walikuwa wanahitaji au walihitaji kurudishwa kwa KIKOKOTOO cha zamani (50%/50%). Na je vipi kuhusu kupunguza miaka na masharti mapya mengi waliyoingiza kwenye KIKOKOTOO kipya?
Wafanyakazi kazi kwenu, mmelia mmesikilizwa.
PIA SOMA
- Hatimaye kikokotoo chalegezwa, Serikali imepandisha Malipo ya Mkupuo kwa Wastaafu kutoka 33% hadi 40%
- News Alert: - Waziri Mwigulu awasilisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025
mambo yote ya fedha yanakwenda kwa utaratibu, na yanafanyika kwa uwazi bila kificho ndio maana hata kabla ya kuajiriwa mtumishi anafahamu wazi atalipwa mafao yake kwa mtindo gani....Tatizo pesa za watumishi zinazokatwa ktk mishahara na kukusanywa na serikali zimekuwa km hisani kwa mtumishi na siyo haki yake kupewa pindi anapozihitaji baada ya kustaafu. Inakuwaj serikali inampangia matumizi mtu mzima (60 yrs old).
Mmmmm basi wewe ni kiboko, ulistahili upewe nafasi kubwa sn ktk chama pendwamambo yote ya fedha yanakwenda kwa utaratibu, na yanafanyika kwa uwazi bila kificho ndio maana hata kabla ya kuajiriwa mtumishi anafahamu wazi atalipwa mafao yake kwa mtindo gani....
hata hivyo,
hapajawahi kua na tatizo lolote baina ya Serikali na watumishi wa umma ispokua kutokuridhika kwa baadhi ya watumishi wachache na wanasiasa waliokosa hoja, sera na uelekeo kuhusu kiawango cha asilimia ya mafao ya watumishi wanaostaafu....
hapakua na dosari wala changamoto ispokua hilo la asilimia tu, kwasababu tangu kuanzishwa kwa mfuko huo malipo ya mkupuo huwa ni 50% mbona hapajawahi kua na malalamiko ya 100%?🐒
Wabunge wa ccm ni wapumbavu sana. Tena Hawa waliwekwa na magu mpuuzi yule!Swali la ufahamu je waliolipwa kwa asilimia 33% watarudishiwa iyo 7% yao?
Ila utumishi wa umma unakua kama mateso tu.
Huku wao wabunge wanachukua fedha zao zote leo ma sisiem wamesikia kimepanda 40% yamepuga makofi.
Unafiki unafiki.
Embu tujadili kwa pamoja hii barua mkuuTusitoane macho tupitie hapa halafu tujadili,nimeikuta hii sehemu...
View attachment 3017362
Mkuu tambua maisha yamebadilika sana iyo 50% linganisha na sasa, acheni ubinafsi basi ata wabunge nao walambe iyo 40% si wana maposho mengi uone watakavyo kua wanatoa miliomambo yote ya fedha yanakwenda kwa utaratibu, na yanafanyika kwa uwazi bila kificho ndio maana hata kabla ya kuajiriwa mtumishi anafahamu wazi atalipwa mafao yake kwa mtindo gani....
hata hivyo,
hapajawahi kua na tatizo lolote baina ya Serikali na watumishi wa umma ispokua kutokuridhika kwa baadhi ya watumishi wachache na wanasiasa waliokosa hoja, sera na uelekeo kuhusu kiawango cha asilimia ya mafao ya watumishi wanaostaafu....
hapakua na dosari wala changamoto ispokua hilo la asilimia tu, kwasababu tangu kuanzishwa kwa mfuko huo malipo ya mkupuo huwa ni 50% mbona hapajawahi kua na malalamiko ya 100%?🐒
Ubinafsi sana sana na unafiki juu.Kwanini wao wanaohudumia muda mfupi wanachukua chao choteee, tena kikubwa sana, mtumishi miaka yote hiyo apewe 40% tu?? Ni ndogo
Hakuna nchi duniani inalipa pension Kwa mfanyakazi kibarua mwajiriwa serikalini au sekta binafsi asilimia 100Wafanyakazi wanataka 100% kama ifanyikavyo kwa wabunge.
Bado 40% ni uhuni.
Tatizo hamlioni Sasa hivi kikokotoo mngekuwa na akili mngedai mlipwe asilimia 20 tu mkupuo ili kipato Cha Kila mwezi Cha pension mpate asilimia 80 ya mshahara mliokuwa mkipata Kazini .Kwa kuwa maisha yamebadilika unachohitaji ni kipato kikubwa Cha Kila mweziMkuu tambua maisha yamebadilika sana iyo 50% linganisha na sasa, acheni ubinafsi basi ata wabunge nao walambe iyo 40% si wana maposho mengi uone watakavyo kua wanatoa milio
wabunge huhudumu kwa miaka mitano pekee, na hakuna uhakika wa kurejea mjengoni tena, tofauti na watumishi wa umma wenye mikataba ya kudumu,Mkuu tambua maisha yamebadilika sana iyo 50% linganisha na sasa, acheni ubinafsi basi ata wabunge nao walambe iyo 40% si wana maposho mengi uone watakavyo kua wanatoa milio