M Muuza Kangala JF-Expert Member Joined Jul 21, 2021 Posts 1,242 Reaction score 4,813 Mar 15, 2025 #1 Mimi mwalimu mwenzenu nauliza huku nikiwa na uchungu sana moyoni. Shujaa atakumbukwa daima. Attachments image_search_1742044326505.jpg 37.5 KB · Views: 1
Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 48,475 Reaction score 70,102 Mar 15, 2025 #2 Sherehe ifanyike uwanja wa ndege wa Chato
Khanji kapoor JF-Expert Member Joined Oct 19, 2024 Posts 1,198 Reaction score 2,695 Mar 15, 2025 #3 Ni siku tatu off
K Kimla JF-Expert Member Joined Jun 8, 2008 Posts 3,810 Reaction score 6,599 Mar 15, 2025 #4 Muuza Kangala said: Mimi mwalimu mwenzenu nauliza huku nikiwa na uchungu sana moyoni. Shujaa atakumbukwa daima. Click to expand... CCM wenyewe hawamuenzi sabbau aliwazibia ufisadi.Ndo maama huon hata TBC ikiweka Mashamsha kama kumbukizi yake
Muuza Kangala said: Mimi mwalimu mwenzenu nauliza huku nikiwa na uchungu sana moyoni. Shujaa atakumbukwa daima. Click to expand... CCM wenyewe hawamuenzi sabbau aliwazibia ufisadi.Ndo maama huon hata TBC ikiweka Mashamsha kama kumbukizi yake
yaliyomoyamo JF-Expert Member Joined Oct 17, 2014 Posts 537 Reaction score 325 Mar 15, 2025 #5 Kimla said: CCM wenyewe hawamuenzi sabbau aliwazibia ufisadi.Ndo maama huon hata TBC ikiweka Mashamsha kama kumbukizi yake Click to expand... Wewe ndio umemaliza kila kitu! Mjadala ufungwe!
Kimla said: CCM wenyewe hawamuenzi sabbau aliwazibia ufisadi.Ndo maama huon hata TBC ikiweka Mashamsha kama kumbukizi yake Click to expand... Wewe ndio umemaliza kila kitu! Mjadala ufungwe!
Kinoamiguu JF-Expert Member Joined Nov 29, 2018 Posts 11,936 Reaction score 15,196 Mar 15, 2025 #6 Tusome In the name of the president (Erick kabendera) Tusome pia ( I am the state ( cha wahariri wetu)
Tusome In the name of the president (Erick kabendera) Tusome pia ( I am the state ( cha wahariri wetu)
Chakaza JF-Expert Member Joined Mar 10, 2007 Posts 40,455 Reaction score 73,145 Mar 15, 2025 #7 Muuza Kangala said: Mimi mwalimu mwenzenu nauliza huku nikiwa na uchungu sana moyoni. Shujaa atakumbukwa daima. Click to expand... Muuza Kangala vipi biashara haiendi?
Muuza Kangala said: Mimi mwalimu mwenzenu nauliza huku nikiwa na uchungu sana moyoni. Shujaa atakumbukwa daima. Click to expand... Muuza Kangala vipi biashara haiendi?
Detective J JF-Expert Member Joined Oct 17, 2016 Posts 24,058 Reaction score 41,518 Mar 15, 2025 #8 Muuza Kangala said: Mimi mwalimu mwenzenu nauliza huku nikiwa na uchungu sana moyoni. Shujaa atakumbukwa daima. Click to expand... Wahusika wenyewe they dont care
Muuza Kangala said: Mimi mwalimu mwenzenu nauliza huku nikiwa na uchungu sana moyoni. Shujaa atakumbukwa daima. Click to expand... Wahusika wenyewe they dont care
kipara kipya JF-Expert Member Joined May 2, 2016 Posts 18,833 Reaction score 23,276 Mar 15, 2025 #9 Shujaa mwana wafrica wachawi wote wanatetemeka muda huu!