General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,303
- 23,064
HahhahahKiukweli nilikuwa nakuchukia kabisaaa huwez kuamin na mm mtu anayenitukana kwenye sehemu ambayo sjafanya kitu kibaya na akarudia mara nyingi huwa namfungia viooo kabisa kuanzia kwenye nyuzi zakeee mpaka comment zake mmojawapo ni wewe.
Tatizooo kila uzi unatukana ndo maana lazima mtu uhisi jambo lingine?Hahhahah
Kumbee!![emoji23][emoji23][emoji23]
Mi sijuagi km ndivyo nilivyo, kumbe mkiwa humu mpo serious sana?
By the way, am not taking JF comments seriously.
Afu unaweza dhani nakufatilia kumbe wala, mi nakomentigi, nikiona uzi unazingua namzingua mleta mada.
Kama ulikuwa wanichukulia serious samahan sana mama.
Hahaaaa. Sawa mdogo wangu.Nimeshamsamehe kwa sababu nimeshatoa duku duku languuuu
HahahahahTatizooo kila uzi unatukana ndo maana lazima mtu uhisi jambo lingine?
Hahaaaaa. Namsaidia kupokea kwa niaba Mangi.Hahhahah
Kumbee!![emoji23][emoji23][emoji23]
Mi sijuagi km ndivyo nilivyo, kumbe mkiwa humu mpo serious sana?
By the way, am not taking JF comments seriously.
Afu unaweza dhani nakufatilia kumbe wala, mi nakomentigi, nikiona uzi unazingua namzingua mleta mada.
Kama ulikuwa wanichukulia serious samahan sana mama.
Usijali mdogo uwe na umaliziaji mwema wa wiki. Siku zote dada yako penda sana wewe. [emoji7] [emoji7]Dada napumzikaa sasa tutaonana baadae ngoja nichaj kimeo changu
Huyu si angekuja PM tuyajenge?Hahaaaaa. Namsaidia kupokea kwa niaba Mangi.
Nimeshangaa na mie ujue sababu hata hukutaka kumwambia mmalizie ugomvi wenu huko wewe umekubali hapa hapa.Huyu si angekuja PM tuyajenge?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unaweka kinyongo na mtu ambae hajui kama una kinyongo, mwishoe unabaki kuumia huku mwezio hana habari.Nimeshangaa na mie ujue sababu hata hukutaka kumwambia mmalizie ugomvi wenu huko wewe umekubali hapa hapa.
Hahahaaaaa. Kashaondoka tena huku roho yake imeshakuwa kwatu.
Hahaaaa. Ndio hapo sasa ila saa nyingine huwa wanawake tunaogopa sana kuanza kumfuata mtu na kumwambia uwazi tulio wengi huwa tunaona njia sahihi ni kumuepuka mtu.Unaweka kinyongo na mtu ambae hajui kama una kinyongo, mwishoe unabaki kuumia huku mwezio hana habari.
Angesema tu, mangi hapa umeniboa, ningejua the girl took me serious. Na watu km wa aina hiyo najua wana mioyo mepesi sana, so nine m-mark na nila nikiona chapisho lake namsabahi tu.
Nipo aiseeJose upoooo?
Usijali nitarejea mwezi huu au julai, kulekule. Hapa kati mambo yaliingilianaAcha basi unajua nimemiss hadithi zakooo
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Tulishakutana aiseeee tulienjoy balaaaa
Mmh[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]siyo kweli wifiii
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Khaaaaa kumekuchaaa Jolie Jolie Ulweso