Swali: Je, umeshawahi kumkimbia mtu baada ya kumkuta ndivyo sivyo? (with updates)

Kiukweli nilikuwa nakuchukia kabisaaa huwez kuamin na mm mtu anayenitukana kwenye sehemu ambayo sjafanya kitu kibaya na akarudia mara nyingi huwa namfungia viooo kabisa kuanzia kwenye nyuzi zakeee mpaka comment zake mmojawapo ni wewe.
Hahhahah
Kumbee!![emoji23][emoji23][emoji23]

Mi sijuagi km ndivyo nilivyo, kumbe mkiwa humu mpo serious sana?
By the way, am not taking JF comments seriously.

Afu unaweza dhani nakufatilia kumbe wala, mi nakomentigi, nikiona uzi unazingua namzingua mleta mada.

Kama ulikuwa wanichukulia serious samahan sana mama.
 
[emoji16][emoji16][emoji16] unapenda Dudu sema ajakutana na unazo zitaka
 
Hahhahah
Kumbee!![emoji23][emoji23][emoji23]

Mi sijuagi km ndivyo nilivyo, kumbe mkiwa humu mpo serious sana?
By the way, am not taking JF comments seriously.

Afu unaweza dhani nakufatilia kumbe wala, mi nakomentigi, nikiona uzi unazingua namzingua mleta mada.

Kama ulikuwa wanichukulia serious samahan sana mama.
Tatizooo kila uzi unatukana ndo maana lazima mtu uhisi jambo lingine?
 
Hahhahah
Kumbee!![emoji23][emoji23][emoji23]

Mi sijuagi km ndivyo nilivyo, kumbe mkiwa humu mpo serious sana?
By the way, am not taking JF comments seriously.

Afu unaweza dhani nakufatilia kumbe wala, mi nakomentigi, nikiona uzi unazingua namzingua mleta mada.

Kama ulikuwa wanichukulia serious samahan sana mama.
Hahaaaaa. Namsaidia kupokea kwa niaba Mangi.
 
Huyu si angekuja PM tuyajenge?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimeshangaa na mie ujue sababu hata hukutaka kumwambia mmalizie ugomvi wenu huko wewe umekubali hapa hapa.

Hahahaaaaa. Kashaondoka tena huku roho yake imeshakuwa kwatu.
 
Unaweka kinyongo na mtu ambae hajui kama una kinyongo, mwishoe unabaki kuumia huku mwezio hana habari.

Angesema tu, mangi hapa umeniboa, ningejua the girl took me serious. Na watu km wa aina hiyo najua wana mioyo mepesi sana, so nine m-mark na nila nikiona chapisho lake namsabahi tu.
 
Hahaaaa. Ndio hapo sasa ila saa nyingine huwa wanawake tunaogopa sana kuanza kumfuata mtu na kumwambia uwazi tulio wengi huwa tunaona njia sahihi ni kumuepuka mtu.

Hapo sawa Mangi. [emoji122] [emoji122]
 
Back
Top Bottom