Swali: Je, umeshawahi kumkimbia mtu baada ya kumkuta ndivyo sivyo? (with updates)

Kama vile umeota, kabaya hako kakavu kama ukoko wa ugali wa udaga.

Maneno yangekuwa yanaendana na mtu kangekuwa karembo sana, but overused kwa kingereza tunasema ni regular/secon'hand...!

Pole zake mr. Matunguri.
Wanaume wa siku hizi mna shombo balaaa sio kwa chambo hilo
 
Umeeuka kitu muhimu sana hapa...
 
Mimi pia imewahi kunitokea, kuna kipindi kilikuwa kinarushwa Radio one cha Darfriends nikapata marafiki wengi sana. Basi kuna rafiki yangu mmoja akaniambia atakuja kunitembelea kazini kwangu Maeneo ya Jengo la ushirika Dar, siku ilipofika nikaenda kumsubiri Mnazi mmoja stend mara namuona kaka mmoja meno yako nnje kakaa kisela balaa ananipigia asimu nikataka nisipokee mara akawa ananisogelea akajua ni mimi maana simu inaita akaanza kujichekesha mate yanaruka balaa.

Basi nikaondoka naye hadi kwenye kimgahawa maana ilikuwa mida ya lunch nikanunua chakula tukala anaongea huyo balaa mara ooh uje kunitembelea Mwananyamala nikupeleke beach, mwenzie huku najiuliza atamaliza saa ngapi aondoke? Alipoondoka tu nikadelete namba yake na akawa ananipigia sipokei hadi akachoka. Yaani niliboreka balaaa hadi leo marafiki wa kwenye mtandao sitaki kabisaa.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sasa si kitambi kinazid mbele kidogo na dushe linafichwa na nyama
Kuna bonge alinitoaaa nyumban mpaka kigamboni eti pametuliaa alikuwaa na maneno mengi na kujisifiaa balaaa basi bwana tukafika kigmboni jamaa kajikoki mbayaa kufika chumbani nikaonaa aibu mm nikasema poaa tu ajali kazini.......bwana weee sisemi uongo mtoto wa kike nikaanza kazi zangu nilizofundwa ile najaribu kuweka hako kafilimbi kake mdomoni haooo wazungu kuanziaa hapo mpaka naondokaa dudu lilikuwa limelala na nilimfanyiaa yote lakin wap.....kuanzia siku hiyo mabonge na mm ni paka na panya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…