Swali: Je, umeshawahi kumkimbia mtu baada ya kumkuta ndivyo sivyo? (with updates)

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nakwambia ndiyo maisha, hata mchikichini ndiyo zao [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utasikia haaa wakubwa wanafaidi
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]aiseee leo nimekumbuka mpenzi wangi x alinitongoza na line mpya siku naenda kukutana nayee nikachezeaa kipondooo sitasahaunkwa kweli haya maisha nimepitia vitukoooo vingi sana
 
Ulweso akakimbia akaacha vumbi sipat picha huo mwendooo aliotoka naoooo[emoji16][emoji16][emoji16][emoji125][emoji125][emoji125]
Kukimbia muhimu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huwa nikiwaza sahizi nacheka balaa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Hahahahaaa. Nitake radhi NN. Sijaruka darasa mimi mpaka namaliza degree yangu. Tena form six ya kiume nimesoma (PCM).

Basi walau utakuwa ushawahi kupasi mtihani wa taifa.

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Wanaume warefu wana mikuyenge inachoma mpaka kizazi mm sitaki
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani usipime mwenzangu ile nawaondoka mie kufunga ofisi mbio, sister wangu alicheka balaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwenzangu haaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…