Swali: Je, umeshawahi kumkimbia mtu baada ya kumkuta ndivyo sivyo? (with updates)

Wewee mm ndo balaaa tena kitu kinachofanya nicheke zaidi tuwe wawil alafu tuende kukutana na kituko looh

Nitachekaa hata mwezi mzimaaaa
Hahaaa nilikuwa na ofisi yangu wasarandiaji jamani siku hiyo mie nina safari yangu kaja 1 mmmm hana nafasi kwangu kapewa kiti na binti kakaa hapo katoa hela ya soda binti yangu hana mbavu, kaja 2 nikampa muda wakurudi, no.1 nikamwambia naitwa hapo na brother nakuja,[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2], nikamwambia binti nikitoka hapa kesho hiyo, walipishana hapo kama greda mie sipo kesho yake naulizwa vipi jana umetafutwa balaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uwiiii
 
Nataka kujiandaa kisaikolojia mdogo wangu nijue kabisa nitakimbiwa au sitakimbiwa
Hawez kufanya hivyoooo hahahaha labda wewe umkimbieeee nina hakika haiwez kutokeaaaa
 
Mimi kuna kasista flan nimezoeana naye Facebook. Siwezi sema ni mbaya ila siwezi tu kuwa naye. Kibsya zaidi ni mwanafunzi huwa najifanys kuongea nse mambo ya shule shule ili kumpoteza maboya lakini bado naona anajaa kwenye kilengeo.
Anakaa Mbagala imebdi nimwambie nakaa kibaha angalau kumkata maini asije tu lakin bado tu yumoo..
Nisipomtext two days wivu mwingi najaribu kumpelela kwenye mada za masom lakini wapi. Na nina tabia moja siwezi kumuignore mtu hata aweje ila siwezi tu kuruhusu hili jambo litokee.
 
Mh utakuwa na abnomality flani,ulishawahi muona daktari baada ya kuchomwa mpaka kizazi?
Sijawahi hata kuwa naooo maana niliahasikia toka mdogo huwa hivyo kwahiyo hata wakinitongoza sikubali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…