Swali: Je, umeshawahi kumkimbia mtu baada ya kumkuta ndivyo sivyo? (with updates)

Swali: Je, umeshawahi kumkimbia mtu baada ya kumkuta ndivyo sivyo? (with updates)

Hivi Alicia Keys kumbe nimweusi?!! Ndy kwanza naskia. Anyway una bahati za watu "kukosea" simu na kuendelea nao story. Sijawah kukimbia wala kukimbiwa, mtu hatujuani nikikuta hajanivutia tutatia story kdogo kumrdhsha then mawasliano yatapngua taratib paka yanakata (skumbuki hcho kutokea though).

Sent from my SM-G530H using JamiiForums mobile app
 
Hafu mwenyewe utakuta unasura ka tako la dreva wa semi trela za kwenda kongo + Vigimbi kama banio la sufuria (Mpanti)
hahaa...hatari sana"" keyboard hizi kwanni zilinyimwa sauti"""?
 
Imenitokea juzi tu nilikutana na Dada moja usiku ni kamwona kama yuko poa kiaina nikachukua namba yake nikiamini itanifaa siku nikiwa na ukame
Juzi nikamwita bana kesho tuonane hotel ...... Eeeeee bana ee si akaja ile kumwangalia vizuri uwiiiiiiii
Ikabidi nizuge tu kama hamna neno nikanywa na juice tukagonga na msosi nikazuga nina kipolo ofisini sijakimaliza ikabidi tutawanyike
Heeeeee tokea hapo nina wiki ya pili sijamtafuta
Juzi kanitumia kameseji "nini kimeharibika best" nikamjibu aise nipo safarini nikirudi ntakujulisha [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Sitakagi ujinga [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Sasa hivi tutakuwa hatutoi namaba zetu si kwakukimbiwa huku[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Hiyo ilikuwa mchana/jioni, nilikuja kuona msg yake usiku baada ya kuwasha simu, nikamdanganya kuwa nilikwapuliwa simu na nikamwambia ndio nimejitahidi kurenew siku ile. Nikazuga kumuuliza kwani hukuona nakimbiza mwizi. [emoji38] [emoji38] [emoji38]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mi sikukimbii ila baada ya kuonana ntakupotezea. Kila ukipiga simu niko busy. Na nakujibu dry dry tu mpaka utakaa sawa. Kuna watu unakutana nao unagundua hawafai hata kuwa marafiki. Sasa watu wa hivyo wanajua kuganda hao.

Hahaha Jirani ndio tabia yako hiyo jirani
 
Asanteeeee kwa kunipaishaa kuwa nina jicho la kimahbaaa mweeeh asante sana ila kwenye nyonyo umekosea mm nina nyonyo konzi mpaka huwa naweka mapera kuongeza liwe kubwa
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] mambo ya mapera hayo
 
Hahaaha[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] mjini shule si kushangaa maghorofa unaweza jikuta unakutana na mbabu na mkongojo ukashindwa hata kuzimia ukabaki umesimama wima [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hiyo yakukutana na mtu usiye mjua duu mie naigopa sana sipati picha ulivyokata kona nyuma geuka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]nyumaaa geukaaa mwendooo vuuuup
 
Mimi sijawahi kumkimbia mtu. Ila huwa nabadili direction kama nikiona matarajio yangu si sahihi. Tutaishia kuwa marafiki tu
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Imenitokea juzi tu nilikutana na Dada moja usiku ni kamwona kama yuko poa kiaina nikachukua namba yake nikiamini itanifaa siku nikiwa na ukame
Juzi nikamwita bana kesho tuonane hotel ...... Eeeeee bana ee si akaja ile kumwangalia vizuri uwiiiiiiii
Ikabidi nizuge tu kama hamna neno nikanywa na juice tukagonga na msosi nikazuga nina kipolo ofisini sijakimaliza ikabidi tutawanyike
Heeeeee tokea hapo nina wiki ya pili sijamtafuta
Juzi kanitumia kameseji "nini kimeharibika best" nikamjibu aise nipo safarini nikirudi ntakujulisha [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Sitakagi ujinga [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Una dhambiii mkuuu mweeeh
 
Back
Top Bottom