Hahaaa. Ni uoga tu sababu kiuhalisia Mwenyezi Mungu ana kila aina ya uumbaji na inatakiwa tukubaliane nao na sio kujidharau.Wapooo kibao hao ndo huwa nawakimbia mm hata kama ni rafiki nakukimbia tu maana yake hujiamin
hahaha [emoji23][emoji28][emoji23]Jamani we kama mimi wanaume wembambaa sijawah date nao toka nimeanza mapenzi yaan hawavutii kabisaa japo wapo wazuri tu lakini mimi nehi neh
Usije ukanikimbia kibonge mimiAisee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. SawaNimekuelewa hapo juu mm
Ulikutana na kitu gani?Hahaha, binafsi nishakimbia MTU,baada ya kuomba miadi naye,lol kuja kumuona live ,uwiii Mungu a nisamehe
Hahahaaaa. Mkiwa wawili hakiwezi kuisha kwa haraka aiseee kwani kila mkikumbushia mnaanza upya. Lol.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]hiyo ya kucheka sasa unikute na rafiki yangu Apple mweeeeeh tukishakimbia tutacheka mwezi mzimaaaa
Ungekua hata unasalimia wifi.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]aiseeeeeh mwenzenu huwa nakimbia naacha vumbiii tu
Sasa si Joh Makini wa mbagala alikuaAiseee dada niljua huyu Joh makin wa bongo kumbe holla
Cheka mdgo wetu uongeze siku, ngoja tutafute siku ya kukufunda uache kukimbia watuUwiiii jaman mbona mnanichekesha sana leo dada tafadhali mbavu zangu
Hahaha siweziUsije ukanikimbia kibonge mimi
Mkuu ukaach vumbi tu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]na manyoyaaa why?Mim nilikuaga Form 4 kipind hcho nasoma shule moja hvi iko Mpwapwa huko mkoani Dodoma, nilikuw ndo kwaanza naanza kujiunga na FB basi nikawa na urafiki na mdada mmoja hvi chatting zakufa mtu akala saund kakubali. Siku moja ikawa likizo fupi ikabidi niende dodoma mjin kutoka mpwapwa sec kulkuw na ndugu yangu pale dodoma. Sas nilipofika nilimwambia nmefka tukaahidiana kuonana Nyerere Square bas mapemaaa nikafika nkakaa chimbo zurii sas alipokuja nae nkamuekeza aingie kupitia mlango gani, alivyoingia tu duh ni Bonge la Mdada af nikijiangalia nlvokuw kadogo duuh ilibid nizime simu nirudi nyumbani.
We acha tu ,unaweza kusema humu ,ikawa unakufuruUlikutana na kitu gani?
Hahahaaa. Lol.Aiseee dada niljua huyu Joh makin wa bongo kumbe holla
Mtani nawe si ulinikimbia au?Demiss umenichekesha hadi nmelia, eti kavaa likaptura likubwa kachomekea na litisheti, huishagi vituko jamani, mm huwa siwakimbii kabisaaa ntamuona nitasalimiana nae halaf namwambia bahati mbaya nmepata dharura sitaweza kukaa sana , nkitoka hapo nablock kila kitu ,sema labda wao ndo wananikimbiaga hahahahahah
Ooh. Usiseme huwezi. Kwani wenzio waliwezajeHahaha siwezi
KhaaaHafu mwenyewe utakuta unasura ka tako la dreva wa semi trela za kwenda kongo + Vigimbi kama banio la sufuria (Mpanti)