Swali: Je, umeshawahi kumkimbia mtu baada ya kumkuta ndivyo sivyo? (with updates)

Uwiiiii tukitoka hapoo ndo tutajua kama kuna kucheka ama kujutaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Unaweza kujuta. Mi nilIshawahi kukomolewa na shoga angu Bar sitakaa nisahau.
 
Dah!kuna jamaa yangu alipewa tu stori na jamaa yake kwamba kuna bonge la demu,jamaa kusikia hivyo akaomba namba za huyo demu,akamtongoza demu akaingia line,vuta nikuvute jamaa akapanga root ya kwenda kukutana naye maana manzi mwenyewe alikuwa na rafudhi ya kichaga hatari sana,ilikuwa ni jumapili ya pasaka tarehe April 1 mwaka huu huu,akaniambia anaenda kuonana naye alichokikuta huko anakijua mwenyewe,kwanza demu bonge,tumbo kubwa,matiti hayoooo bahati mbaya tena mweusi harafu kama mjuavyo wenzetu kaskazini walipigwa pasi huko nyuma,jamaa yangu alitoka ndukiiiii,saa nne usiku ananiambia yupo around,ila yeye walikutana kabisa wakaongea ongea then akamwambia ngoja nichukue vocha akachoraaaaa.
Daaaah
 
Nitawadanganya kama nilivyowadanganya jina langu? Teh teh

Wewe ulinikimbia....nakupigia simu nakulilia ila hata huruma huna!!

I hate you hahahaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usinisingizie.
 
Yeah kama mimi ninavyokupenda wewe na style yako ya uwasilishaji mawazo humu na ninavyokufanyia imagination hasa kipindi kile ulivyowekaga picha inaonyesha kiwowo kimebinuka kiaina
Na sura ya baba usisahau ipo pia
 
Ila mimi nina hako kamchezo aisee.

Na mara nyingi huwa nawakula kwanza, kama wanakulika lakini. Atakayekuwa mtamu atakulwa mara ya pili, tatu, au hata nne.

Asiye na ladha atakulwa mara moja tu halafu tunakuwa washikaji wa kawaida tu kama atataka.

Asipotaka, basi. Aende zake maana kuna wengine wanasubiri kukulwa na Myuesiei.

Hahahaaaaaaaa just playing.
Foleni ya kuliwa na myuesie ni kubwa. Ukisema urudie na wengine tutakosa. Kwahiyo uliowala mara moja hawakuwa watamu eeh. Basi nanihii alikua mtamu eeeh. Yule yulee ulierudiaga
 
Ila mm nilishakimbiwa,
Mwaka 2010 nikiwa olevel kuna jamaa kahamia shuleni kwetu darasa moja akitokea huko Sengerema,basi usiku akianza kuchati na demu wake wa huko alikotoka nikamuomba na mm aniunganishie akanipa namba nikapiga sound binti akanielewa,basi tukawa tunachati kila siku,ikatokea trip ya jamaa yangu kwenda kwao huko Sengerema Nyehunge kwenye sherehe baba yake alikuwa anastaafu ualimu,tukaambatana naye kumpa kampani,basi demu nikampa taarifa kwamba nakuja huko akafurahi hatari,tulipofika huko demu hakupatikana hewani kabisa mpk tunatoka huko,siku ya pili tangu tutoke huko akapatikana basi nikamzingua hatari kwa kunizimia simu,basi akaniomba sana msamaha akidai alifika mpk kwenye sherehe na akaniona kabisa kwa siku 2 mfululizo,sema alichohofia kwamba hatuendani hata kidogo maana mm nilionekana wa mjini sana,harafu nilikuwa napiga pamba sana akijiangalia yeye anaona kabisa nisingevutiwa naye ndy maana aliona heli tusionane,nikamuelewa maana sema ukweli tulijipanga sana tulikuwa tunapiga pamba sana,si unajua tena kule kijijini kwa kifupi ndy hvyo nilivyokimbiwa sasa sijui aliyoyanena yalikuwa ya ukweli au laa,lkn nilimpuuza kuanzia hapo.
 
Nimempata mwenzangu ambae tuliwai kukimbiwa, jaman kama kuna mtu alikimbiwa aje atupe nguvu sis wahanga wa kusema kwel
 
Ila mm nilishakimbiwa,
Mwaka 2010 nikiwa olevel kuna jamaa kahamia shuleni kwetu darasa moja akitokea huko Sengerema,basi usiku akianza kuchati na demu wake wa huko alikotoka nikamuomba na mm aniunganishie akanipa namba nikapiga sound binti akanielewa,basi tukawa tunachati kila siku,ikatokea trip ya jamaa yangu kwenda kwao huko Sengerema Nyehunge kwenye sherehe baba yake alikuwa anastaafu ualimu,tukaambatana naye kumpa kampani,basi demu nikampa taarifa kwamba nakuja huko akafurahi hatari,tulipofika huko demu hakupatikana hewani kabisa mpk tunatoka huko,siku ya pili tangu tutoke huko akapatikana basi nikamzingua hatari kwa kunizimia simu,basi akaniomba sana msamaha akidai alifika mpk kwenye sherehe na akaniona kabisa kwa siku 2 mfululizo,sema alichohofia kwamba hatuendani hata kidogo maana mm nilionekana wa mjini sana,harafu nilikuwa napiga pamba sana akijiangalia yeye anaona kabisa nisingevutiwa naye ndy maana aliona heli tusionane,nikamuelewa maana sema ukweli tulijipanga sana tulikuwa tunapiga pamba sana,si unajua tena kule kijijini kwa kifupi ndy hvyo nilivyokimbiwa sasa sijui aliyoyanena yalikuwa ya ukweli au laa,lkn nilimpuuza kuanzia hapo.
pamoja na hizo pamba mzee hukuopoa kingine? au ulikuwa mzwamzwa enzi hizo[emoji23]
 
Sikuopoa mkuu,maana karibu kijiji kizima walikuwa ndugu zake na jamaa yangu si unajua zile familia za kanda ya ziwa,lkn pia alinikata stimu aliyenizimia simu na tulikaa huko kwa siku 5 na kurudi shule.
 
Back
Top Bottom