Swali: Kama Mbowe na wenzake wamekutwa na kesi ya kujibu, nafasi ya kujitetea ni kuomba adhabu ipunguzwe?

DPP ana uwezo wa kuita Nolle Prosique muda wowote wa kesi.
 
Zitto aliwaambia muache kushupaza shingo mkamtukana,

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Mzee, Duniani tunapita, hakuna haja ya Kuogopa binadamu wenzetu,acha ukweli usimame, Hakuna Sababu ya Kuogopa kabisa maana Neema ya MUNGU ni kubwa Sana.Hata ikibidi kufa hakuna shida maadamu sote tutaonja mauti hivyo hakuna wa kuishi milele.Mbowe na wote wanaotuhumiwa ikiwa wanachotuhumiwa nacho ni kweli basi sheria ifuate mkondo wake na wanaweza kuomba radhi lkn ikiwa si kweli,ni ishu tu za Kisiasa basi Wasiombe radhi wamuachie MUNGU hakimu mwenye haki aweze kuamua mustakabali wao,na wala sio Watawala.
 
Hii kesi inaingia katika hatua ngumu sana na hapa inatakiwa busara tu ya DPP kuitoa maana itaweza kuleta tabu mbeleni.
 
Mzee, Duniani tunapita, hakuna haja ya Kuogopa binadamu wenzetu,acha ukweli usimame, Hakuna Sababu ya Kuogopa kabisa maana Neema ya MUNGU ni kubwa Sana.Hata ikibidi kufa hakuna shida maadamu sote tutaonja mauti hivyo hakuna wa kuishi milele.Mbowe na wote wanaotuhumiwa ikiwa wanachotuhumiwa nacho ni kweli basi sheria ifuate mkondo wake na wanaweza kuomba radhi lkn ikiwa si kweli,ni ishu tu za Kisiasa basi Wasiombe radhi wamuachie MUNGU hakimu mwenye haki aweze kuamua mustakabali wao,na wala sio Watawala.
Anaeseteseka ni Mbowe!

Ccm mnawajua vizuri sana hawajali hayo! Hata Mbowe akija kushinda haitasaidia chochote sana sana watafurahia lengo lao la kukaa bila Mbowe kwa miezi zaidi 6 limetimia.

Zitto aliwaambia acheni kushupaza shingo mkamtukana. Juzi lisu karudia kile kile alichosema zitto mkashangilia.

Tuendelee kumtukana marehemu magufuli

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Hili ni swali ambalo bila shaka sisi tusio na uelewa wa sheria kwa mapana yake tunajiuliza.

Katika hukumu iliyosomwa na Jaji Tiganga, mahakama imewakuta na kesi ya kujibu watuhumiwa wanne.

Maana yake ni kuwa hatia imeonekana. Je, wanapaswa kujitetea adhabu ipunguzwe ama wafutiwe makosa?

Je, DPP ana uwezo wa kuondoa shauri mahakamani ambalo tayari mahakama imewakuta watuhumiwa na kesi ya kujibu?

Naomba kuelimishwa.
Labda nikujibu kwa mifano na ndio itakuwa rahisi kuelewa.

Serikali inakushitaki kwamba umeiba ng’ombe kwa bwana Juma.

Katika mashahidi wa serikali kutoa ushahidi, inajitokeza kwamba huyo ng’ombe hakuibiwa bali alikamatwa na kuliwa na mamba.

Serikali baada ya kumaliza kutoa ushahidi, Hakimu anatoa hukumu ya kumwachia Huyu ndugu kwasababu bila hata ya kujitetea ukweli uko wazi hakuiba huyo ng’ombe. Mtuhimiwa hana kesi ya kujibu.

Mfano wa pili, mashahidi katika utetezi wao wanatoa ushahidi wa kwamba walimwona mtuhumiwa karibu na ng’ombe na siku za karibuni aliuza ngozi ambayo ni huyo ng’ombe.
Hakimu hapo hana uhakika na ukweli na kasikiliza upande mmoja tu. Hapo anaamua mhusika ana kesi ya kujibu na inabidi ajitetee.
Mtuhumiwa anajitetea kwamba siku ng’ombe anaibiwa yeye alikuwa nje ya nchi na ushahidi ni huu hapa. Ngozi aliyoyafanya ni ya ng’ombe wa Jirani yake ambaye alimpa akauze na Jirani anathibitisha hayo,

Baada ya kujitetea Hakimu kapata ukweli na mtuhumiwa anaachiwa.

Ni ngumu sana kumuachia mtuhumiwa kwa mfano wa kwanza kwamba hana kesi ya kujibu. Ina maana Serikali imetoa pumba tupu kwenye ushahidi wake. Kwenye hii kesi ile tu kukubali yale maelezo ya kukiri ambayo wanasema waliteswa, inatosha kuwakuta watuhumiwa kuwa na kesi ya kujibu.
 
Anaeseteseka ni Mbowe!

Ccm mnawajua vizuri sana hawajali hayo! Hata Mbowe akija kushinda haitasaidia chochote sana sana watafurahia lengo lao la kukaa bila Mbowe kwa miezi zaidi 6 limetimia.

Zitto aliwaambia acheni kushupaza shingo mkamtukana. Juzi lisu karudia kile kile alichosema zitto mkashangilia.

Tuendelee kumtukana marehemu magufuli

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Hopeless kabisa. Mbowe mwenyewe kakataa sasa Sijui kwanini mnalazimisha?

Imagine Mandela angetoka kwa msamaha kama Makaburu walivyotaka? Mbowe kakaa ndani zaidi ya siku 200. Akikaa siku 100 zaidi Lakini ukweli ukajulikana ni Bora zaidi.
 
Labda nikujibu kwa mifano na ndio itakuwa rahisi kuelewa.

Serikali inakushitaki kwamba umeiba ng’ombe kwa bwana Juma.

Katika mashahidi wa serikali kutoa ushahidi, inajitokeza kwamba huyo ng’ombe hakuibiwa bali alikamatwa na kuliwa na mamba.

Serikali baada ya kumaliza kutoa ushahidi, Hakimu anatoa hukumu ya kumwachia Huyu ndugu kwasababu bila hata ya kujitetea ukweli uko wazi hakuiba huyo ng’ombe. Mtuhimiwa hana kesi ya kujibu.

Mfano wa pili, mashahidi katika utetezi wao wanatoa ushahidi wa kwamba walimwona mtuhumiwa karibu na ng’ombe na siku za karibuni aliuza ngozi ambayo ni huyo ng’ombe.
Hakimu hapo hana uhakika na ukweli na kasikiliza upande mmoja tu. Hapo anaamua mhusika ana kesi ya kujibu na inabidi ajitetee.
Mtuhumiwa anajitetea kwamba siku ng’ombe anaibiwa yeye alikuwa nje ya nchi na ushahidi ni huu hapa. Ngozi aliyoyafanya ni ya ng’ombe wa Jirani yake ambaye alimpa akauze na Jirani anathibitisha hayo,

Baada ya kujitetea Hakimu kapata ukweli na mtuhumiwa anaachiwa.

Ni ngumu sana kumuachia mtuhumiwa kwa mfano wa kwanza kwamba hana kesi ya kujibu. Ina maana Serikali imetoa pumba tupu kwenye ushahidi wake. Kwenye hii kesi ile tu kukubali yale maelezo ya kukiri ambayo wanasema waliteswa, inatosha kuwakuta watuhumiwa kuwa na kesi ya kujibu.
Swadakta Mkuu!. Hapo nimekupata barabara.

Barikiwa mno.
 
Anaeseteseka ni Mbowe!

Ccm mnawajua vizuri sana hawajali hayo! Hata Mbowe akija kushinda haitasaidia chochote sana sana watafurahia lengo lao la kukaa bila Mbowe kwa miezi zaidi 6 limetimia.

Zitto aliwaambia acheni kushupaza shingo mkamtukana. Juzi lisu karudia kile kile alichosema zitto mkashangilia.

Tuendelee kumtukana marehemu magufuli

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Time Will tell.
 
Back
Top Bottom