Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee, Duniani tunapita, hakuna haja ya Kuogopa binadamu wenzetu,acha ukweli usimame, Hakuna Sababu ya Kuogopa kabisa maana Neema ya MUNGU ni kubwa Sana.Hata ikibidi kufa hakuna shida maadamu sote tutaonja mauti hivyo hakuna wa kuishi milele.Mbowe na wote wanaotuhumiwa ikiwa wanachotuhumiwa nacho ni kweli basi sheria ifuate mkondo wake na wanaweza kuomba radhi lkn ikiwa si kweli,ni ishu tu za Kisiasa basi Wasiombe radhi wamuachie MUNGU hakimu mwenye haki aweze kuamua mustakabali wao,na wala sio Watawala.Zitto aliwaambia muache kushupaza shingo mkamtukana,
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Siyo hukumu ni uamuzi mdogo.Vipi hukumu ndogo unaionaje?
Anaeseteseka ni Mbowe!Mzee, Duniani tunapita, hakuna haja ya Kuogopa binadamu wenzetu,acha ukweli usimame, Hakuna Sababu ya Kuogopa kabisa maana Neema ya MUNGU ni kubwa Sana.Hata ikibidi kufa hakuna shida maadamu sote tutaonja mauti hivyo hakuna wa kuishi milele.Mbowe na wote wanaotuhumiwa ikiwa wanachotuhumiwa nacho ni kweli basi sheria ifuate mkondo wake na wanaweza kuomba radhi lkn ikiwa si kweli,ni ishu tu za Kisiasa basi Wasiombe radhi wamuachie MUNGU hakimu mwenye haki aweze kuamua mustakabali wao,na wala sio Watawala.
Labda nikujibu kwa mifano na ndio itakuwa rahisi kuelewa.Hili ni swali ambalo bila shaka sisi tusio na uelewa wa sheria kwa mapana yake tunajiuliza.
Katika hukumu iliyosomwa na Jaji Tiganga, mahakama imewakuta na kesi ya kujibu watuhumiwa wanne.
Maana yake ni kuwa hatia imeonekana. Je, wanapaswa kujitetea adhabu ipunguzwe ama wafutiwe makosa?
Je, DPP ana uwezo wa kuondoa shauri mahakamani ambalo tayari mahakama imewakuta watuhumiwa na kesi ya kujibu?
Naomba kuelimishwa.
Hopeless kabisa. Mbowe mwenyewe kakataa sasa Sijui kwanini mnalazimisha?Anaeseteseka ni Mbowe!
Ccm mnawajua vizuri sana hawajali hayo! Hata Mbowe akija kushinda haitasaidia chochote sana sana watafurahia lengo lao la kukaa bila Mbowe kwa miezi zaidi 6 limetimia.
Zitto aliwaambia acheni kushupaza shingo mkamtukana. Juzi lisu karudia kile kile alichosema zitto mkashangilia.
Tuendelee kumtukana marehemu magufuli
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Wewe shetani who is Zitto? Vyovyote itakavyokua tutakuja kushindaZitto aliwaambia muache kushupaza shingo mkamtukana,
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Unaonaje mama anavyowakomesha sukuma gang na mataga?Wewe shetani who is Zitto? Vyovyote itakavyokua tutakuja kushinda
YHii kesi inaingia katika hatua ngumu sana na hapa inatakiwa busara tu ya DPP kuitoa maana itaweza kuleta tabu mbeleni.
You're nextUnaonaje mama anavyowakomesha sukuma gang na mataga?
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Ndivyo hivyo, upo sahihi
Endelea kujipa moyoDPP ana uwezo wa kuita Nolle Prosique muda wowote wa kesi.
Siyo hukumu ni uamuzi mdogo.
Ilibidi iwe hivyo kwa sababu kinyume chake ingeonekana Tundu Lisu ndio kafanikisha.
Kibatala ni akili kubwa.
Swadakta Mkuu!. Hapo nimekupata barabara.Labda nikujibu kwa mifano na ndio itakuwa rahisi kuelewa.
Serikali inakushitaki kwamba umeiba ng’ombe kwa bwana Juma.
Katika mashahidi wa serikali kutoa ushahidi, inajitokeza kwamba huyo ng’ombe hakuibiwa bali alikamatwa na kuliwa na mamba.
Serikali baada ya kumaliza kutoa ushahidi, Hakimu anatoa hukumu ya kumwachia Huyu ndugu kwasababu bila hata ya kujitetea ukweli uko wazi hakuiba huyo ng’ombe. Mtuhimiwa hana kesi ya kujibu.
Mfano wa pili, mashahidi katika utetezi wao wanatoa ushahidi wa kwamba walimwona mtuhumiwa karibu na ng’ombe na siku za karibuni aliuza ngozi ambayo ni huyo ng’ombe.
Hakimu hapo hana uhakika na ukweli na kasikiliza upande mmoja tu. Hapo anaamua mhusika ana kesi ya kujibu na inabidi ajitetee.
Mtuhumiwa anajitetea kwamba siku ng’ombe anaibiwa yeye alikuwa nje ya nchi na ushahidi ni huu hapa. Ngozi aliyoyafanya ni ya ng’ombe wa Jirani yake ambaye alimpa akauze na Jirani anathibitisha hayo,
Baada ya kujitetea Hakimu kapata ukweli na mtuhumiwa anaachiwa.
Ni ngumu sana kumuachia mtuhumiwa kwa mfano wa kwanza kwamba hana kesi ya kujibu. Ina maana Serikali imetoa pumba tupu kwenye ushahidi wake. Kwenye hii kesi ile tu kukubali yale maelezo ya kukiri ambayo wanasema waliteswa, inatosha kuwakuta watuhumiwa kuwa na kesi ya kujibu.
Time Will tell.Anaeseteseka ni Mbowe!
Ccm mnawajua vizuri sana hawajali hayo! Hata Mbowe akija kushinda haitasaidia chochote sana sana watafurahia lengo lao la kukaa bila Mbowe kwa miezi zaidi 6 limetimia.
Zitto aliwaambia acheni kushupaza shingo mkamtukana. Juzi lisu karudia kile kile alichosema zitto mkashangilia.
Tuendelee kumtukana marehemu magufuli
Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
Nilikua natoa shule kijana wangu.Endelea kujipa moyo