Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sorry typing error waombajiWaimbaji ???
Interview siku hiz ni online....unapangiwa kituo sehem uliyopo, unaenda kukandwaNaomba kuuliza kuhusu ajira hizi mpya za utumishi ziliotangazwa tar 7/7/2024
Je kitakuwa na interview? Na kama ipo je waimbaji wataenda dodoma wote au Kwa mikoa na Kama ni kimkoa kumbe selikari Ina pesa kiasi Cha kuendesha interview kila mkoa
maswali mazuri sana. ngoj waje au uwe na subira watatoa mwongozo kama kweli aijra zenyewe zipo, maana samia ni kura ndicho anachokiangalia , atafanya udanganyifu wowote!Naomba kuuliza kuhusu ajira hizi mpya za utumishi ziliotangazwa tar 7/7/2024
Je, kitakuwa na interview? Na kama ipo je waimbaji wataenda dodoma wote au Kwa mikoa na Kama ni kimkoa kumbe selikari Ina pesa kiasi cha kuendesha interview kila mkoa
Yawezekana zisiwepo kabisa au zikaja kutoka kimkakati baada ya Samia kushindamaswali mazuri sana. ngoj waje au ue na subira watatoa mwongozo kama kweli ajra zenyewe zipo, maana samia ni kura ndicho anachokiangalia n atafanya udanganyifu wowote!
Sio on line sema zinafanywa kupitia computer tena ni written interview! Unafanya mahali ulipo wanateua vituo vya kufanyia! Kwa hiyo utakapofanyia interview ya kuandika itategemea adress yako ya sasa ulio weka kwenye tovuti ya utumishi!Interview siku hiz ni online....unapangiwa kituo sehem uliyopo, unaenda kukandwa
Kijana jiandae lazima ukandwe! Soma soma soma!Naomba kuuliza kuhusu ajira hizi mpya za utumishi ziliotangazwa tar 7/7/2024
Je, kitakuwa na interview? Na kama ipo je waimbaji wataenda dodoma wote au Kwa mikoa na Kama ni kimkoa kumbe selikari Ina pesa kiasi cha kuendesha interview kila mkoa
lolote linaweza kufanywa na hawa wahuniYawezekana zisiwepo kabisa au zikaja kutoka kimkakati baada ya Samia kushinda
Unaweza kuandika mwaka ulipoipata hadi itakapo isha! Au ukaandika mwaka ulipo anza kuisomea hadi ulipoipata!Hivi kwenye leseni mwaka tunaweka wa kuanza masomo had kumaliza au ni muda wa leseni?
Interview ni lazima mkuu, watu wanaenda mpaka 1500+ na wanapigishwa saili izo nazo mikando ni mustYawezekana zisiwepo kabisa au zikaja kutoka kimkakati baada ya Samia kushinda
wanamaanisha watapanga wenyewe mfano madaktari wanaitajika 1000 mikoa yote ivyo wakioatikana watapangwa sio lazima mkoa ulioombea ndio upangwe hukoHivi baada ya kuomba mfumo unasema already applied mikoa yote wanamaanisha Nini au ndo Kwamba umeomba uende mkoa Fulani alafu ukapangiwa mkoa mwingine tofauti na uliyoomba?