Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
- Thread starter
-
- #181
Kama kabla ya mechi, uliishaona wazi kabisa kuwa the playing field is not level, lakini ukakubali kukaa mezani na kusaini the rules of the game, na moja ya sheria hizo ni pamoja na usipopeleka timu uwanjani, timu iliyopo uwanjani, itapewa ushindi wa mezani. Dawa sio kutopeleka timu uwanjani, bali kupeleka timu na kugomea kipenga hadi uwanja usawazishwe ndipo mechi ipigwe!.Mchezo gani? Timu inaingia na kamisaa, washika vibendera na refa wao. Inaita timu pinzani wacheze. Yataka moyo wa chuma!
Mkuu mm nasugua tu kichwa hapa kujua tu hii "P" ktk signature yako niipe maana gani kutokana na haya Mabandiko yako ya sasa tangu utoke mbele ya kamati ya bunge but sijapata maana inayofit na unavyoviandika.Nimeeleza kuna kususa kwa utoto, kuzira lengo ni attention seeking.
Kuna kususa kwa wanawake ambao ni kunyima huduma ili kukomoa, na huisha kwa kubembelezwa na kupoozwa.
Kuna kugoma rasmi ambapo unatanguliza madai, yasipotekelezwa, ukigoma mgomo huo unaleta athari.
Ukisusia kitu ambacho kususa huko hakuna athari yoyote, ni sawa na kumsusia ngedere shamba la mahindi.
Ili kususa kuwe na maana, lazima kususa huko kuwkuwara na malengo ambayo umepanga to achieve.
P
Nimesisitiza, the differences between men and women in decision making during crisis situations, real men are supposed to face the problem head on and not run away from the problem, that is cowardice.Ndio maana nimemwambia asifananishe wanawake zake na wake zetu. Anaomba radhi kisha anadhihaki wanawake! Bogus
Naona mambo ya kususa yanarudi!.
Watu wakisusa, wengine twala!.
Ila uamuzi huu wa Chadema ni wa busara, kwa chaguzi zote za maradio, nashauri sio tuu Chadema wajitoe, bali vyama vyote wajitoe ili CCM ipite bila kupingwa tuokoe muda, fedha, rasilimali za taifa na kitu kikubwa zaidi, tuokoe machozi, jasho na damu zenye roho za Watanzania.
P.
You are completely wrong!... tunajua akili yake Ipo kwenye nini....somebody told me that,his best friends are Museven and Kagame.....so i know who he is....Jibu la swali lako nafikiri jibu unalo wewe mwenyewe na umeshaliandika kwamba kususa ni tabia ya mtoto hasa pale anapotaka attention sasa Wapinzani au wanaoitwa Wapinzani wasiposusa ina maana hakuna attention na kama hamna attention, basi no money, ila wakati huu wameingia choo cha kike kwa maana Magu hana huwo muda, yeye akili yake yote ipo kwenye kuindustrialize TZ na ,,atakayetukwamisha tutambomoa" kwa maneno yake mwenyewe Magu na hana muda wa kubembelezana mtu anayetafuta attention!
Mkuu Bachela Sugu, JF ni uwanja wa wazi, kila member yuko huru kutoa mawazo yake na kila mtu yuko huru kuchangia, kusupport, kupinga, kukubaliana, kutofautiana au kukubaliana kutokubaliana.Mkuu mm nasugua tu kichwa hapa kujua tu hii "P" ktk signature yako niipe maana gani kutokana na haya Mabandiko yako ya sasa tangu utoke mbele ya kamati ya bunge but sijapata maana inayofit na unavyoviandika.
Natamani tu km ungerudi kuendelea kutangaza tu yale maonyesho ya 77 kule TBCCM
Mkuu Chotibalula, kazi ya mwandishi ni kuuliza tuu maswali, haijalishi ni swali gani, hivyo swali likiishaulizwa, kama una jibu jibu, kama huna jibu ananyamaza na kuendelea na kusoma majibu ya wengine.We ni mwandishi wa wapi!!....unatia aibu aise....ivi unaweza ukauliza swali la namna hii kweli. Kweli wewe ni mayalla....eti siyo tabia za kike!!..... 😡😡
Kuna watu tunategemea busara kubwa toka kwao, kupinga kwa busara, kuandika logic, kutofautiana kwa reason, kukubaliana kwa reason etc. Kuwa watu ambao wako knowlegeable na wale ambao ni informed. Wewe uko (I guess and most likely so) uko knowledgeable, ukiandika contrary to majority expectation of your, lazima tuulize maswali kama alivyouliza huyu!Mkuu Bachela Sugu, JF ni uwanja wa wazi, kila member yuko huru kutoa mawazo yake na kila mtu yuko huru kuchangia, kusupport, kupinga, kukubaliana, kutofautiana au kukubaliana kutokubaliana.
Kutangaza maonyesho nimestaafu sasa natangazia jf.
P.
Mkuu Elvis Chirwa, kwanza nakubaliana na wewe, uchaguzi is a process yenye vipengele vya sheria, taratibu na kanuni, na kuna utaratibu wa kushughulikia kila kitu. Sasa kama rais alipiga marufuku mikutano ya siasa, jee rais ana mamlaka hayo?. Kama rais amefanya jambo ambalo hana mamlaka nalo, waathirika wamechukua hatua gani?.Mayala tatizo la tume si mkurugenzi bali ni wanaccm wanaosimamia uchaguzi kwani hata maelekezo ya kumtangaza mshindi walipewa wanaosimamia na kutangaza matokeo. Gari huendeshwa na injini (mkurugenzi) lakini hakuna hata siku moja imedhutumiwa kusababisha ajari.
mayala, we have a doomed judiciary, kwanini unakuwa hivyo Mayalla?Mkuu Elvis Chirwa, kwanza nakubaliana na wewe, uchaguzi is a process yenye vipengele vya sheria, taratibu na kanuni, na kuna utaratibu wa kushughulikia kila kitu. Sasa kama rais alipiga marufuku mikutano ya siasa, jee rais ana mamlaka hayo?. Kama rais amefanya jambo ambalo hana mamlaka nalo, waathirika wamechukua hatua gani?.
Kanisome hapa niliwauliza
CHADEMA Chama cha Ajabu Sana!.Kwenda Mahakamani Kwa Non Issue, Serious Issue ya Katiba ni UKUTA!. - JamiiForums
hawana majibu. k
Kama ni kweli rais Magufuli alitoa maagizo batili kwa wakurugenzi, hizi ndio serious issues za Chadema ku deal nazo perpendicular kumshitaki rais na sio kususa.
Kiukweli kabisa, Chadema ina tatizo na seriousness katika ku deal na issues muhimu, inakalia kupiga tuu kelele kutafuta public sympathy ambayo haiwasaidii. A serious party ita deal na serious issues seriously.
P
Mkuu Retired, kwanza asante, nimeguswa na hoja ya mtu kuwa respected, hivyo kufanya mambo to the expectations of the majority hata unajua kama, that is wrong move.Kuna watu tunategemea busara kubwa toka kwao, kupinga kwa busara, kuandika logic, kutofautiana kwa reason, kukubaliana kwa reason etc. Kuwa watu ambao wako knowlegeable na wale ambao ni informed. Wewe uko (I guess and most likely so) uko knowledgeable, ukiandika contrary to majority expectation of your, lazima tuulize maswali kama alivyouliza huyu!
Nakukumbusha tena, siku ile ya JPM uliuliza swali la mtu mwenye highest degree of intellect, lakini with time this expected intellect of you is weaning away gradually!
Have a nice day!
Hakuna ugonjwa mbaya duniani kama kukosa akili! sikuwahi kuona jitu pumbavu na lisilojitambua huku JF kama wewe, Inaonekana hadi ktk level ya family wewe ni mzigo.Mwanamke wa kususa susa ni mtamu sana.... unakuta kamesusa na kasura kake kazuri... unakabembeleza mpaka raha... utasikia usirudie tena kwa kasauti ka aibu aibu...
Kwa akili zako fupi unamaanisha hata wanasiasa wanawake waache silika ya kike na kufuata uanaume! Bado mna safari ndefu, na walau hapa umeondoa watoto.Nimesisitiza, the differences between men and women in decision making during crisis situations, real men are supposed to face the problem head on and not run away from the problem, that is cowardice.
Sijadhihaki wanawake bali huo ndio ukweli kuhusu wanawake, watu wasituletee mambo ya kike kwenye siasa!.
P
Unaona sasa this is an answer from a man of intellect! Pascal tunayemjua intellect yake inabidi ipande as time goes on maana discoveries , major ones, on earth zimefanywa na Professors wazee, chache sana zimefanywa na vijana. Hivyo wewe bado, ndio tunategemea busara zizidi kupanda. na nina uhakika zinapanda, sema mazingira ya kutekwa, risasi (Lisu) , sandarusi coc beach and the like lazima kila mtu atukuze mfalme. Nina uhakika Pascal uko vizuri sana! Pascal, I can say for certainty kuwa majority if not all human beings, as long as "maendeleo" yana involve atrocities against humans and consequently loss life as it is now in Tanzania, whatever "Mungu" is doing goes down by the trench! Hakuna lolote linalopewa heshima alilolifanya Idd Amin kwa vile alikuwa muuaji. Na si kuwa hakufanya vitu, lakini kwa vile alikuwa dictator wa nguvu as we are today, to hell with whatever jargon you call maendeleao is rubbish.Mkuu Retired, kwanza asante, nimeguswa na hoja ya mtu kuwa respected, hivyo kufanya mambo to the expectations of the majority hata unajua kama, that is wrong move.
Mimi nimeisha jitanabaisha humu kuwa sina chama, hivyo kazi yangu ni just as an observer na kushauri, kwenye haya ya kuhusu uchaguzi nimeisha tumia busara za aina zote na kuelimisha jinsi ya kupinga kwa, kwa busara na kwa kutumia logic na sio kutumia nguvu. Mara nyingi ninatofautiana na wengi, na kuamua kukubalina kutokubaliana, hata kwenye hili la kususa, its a political suicide kwa Chadema kama ilivyo kwa CUF.
Rais Magufuli ni dikiteta, amepiga marufuku mikutano ya siasa kidikiteta tuu, kinyume cha katiba, this is very serious issue. Chadema badala ya kudeal nayo seriously, wao wakaamua kujenga UKUTA, kuhamasisha maandamano na mikutano.
Angalia niliwashauri nini
Ushauri kwa CHADEMA: Japo ni Haki, lakini chondechonde Msiandamane. Mwenye Nguvu Mpishe! - JamiiForums
Sasa kama watu kama hawa, walioshauriwa the right thing to do, the right path to follow, lakini hawafanyi, leo wakigoma au kususa utawaelewa?.
Chadema wanasusia kwa kuilaumu Tume, akina sisi tumewaeleza humu tatizo sio Tume bali sheria
Sheria ya Uchaguzi Ni Bad Law!, Kuendelea Kuitumia ni Ujinga?, Kuwabebesha Masikini Gharama za Uchaguzi ni Dhambi!. - JamiiForums
Kuhusu intellect, kwa vile intellect sio kitu constant, inaweza kupanda na kushuka, hivyo ile siku nilipouliza swali Ikulu, intellect yangu ilikuwa juu, lakini leo ninapouliza kuhusu kususa, sasa imeshuka.
Kwa vile wengi wanapingana na hoja zangu kwenye bandiko hili, na mimi pia nimelazimika kujisoma tena huku nikijiuliza, nimejiridhisha, hakuna kitu cha kubadilisha. Hivyo pia inawezekana kilichoshuka ni intellect jf members wengine, jee wewe umelisoma kwa makini hili bandiko lote?. Lina hoja ya msingi au halina hoja?.
P
UmenikumbushaTake home message : At any cost hupashwi kuandika lolote la kumsifu "Mungu" wetu. Ndio maana nadhani watu kama "Shivj"i wameamua kunyamaza.
Amini usiamini wanawake na wanaume, we do think differently, ila kuna wanawake they think and makes decisions like men, ndio maana kuna watu kama Qeen Cleopatra, Queen of Sheba, Nzinga Mbandu etc waliongoza vita kwa kupigana mstari wa mbele.unamaanisha hata wanasiasa wanawake waache silika ya kike na kufuata uanaume! Bado mna safari ndefu, na walau hapa umeondoa watoto.
Jielimishe, labda utaanza kuwaheshimu mama zako