Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 16,003
Ila Pasco wa JF ni shabiki sugu wa Lowassa.Mkuu The Big Boss, naomba nikuhakikishie kayika maisha yangu yote, sijawahi kuwa mwanachama wa chama chochote cha siasa. Pasco wa jf, hanunuliki na yeyote kwa lolote kwa sababu hana price. Mimi ni priceless, sio CCM wa Chadema, wala Ukawa, wala Lowassa wala Magufuli, ana uwezo wa kuninunua, kwa sababu I'm not for sale, na sina any price tag!.
Naomba uniamini hili ni swali tuu, nimeuliza hawa wanaosusa, wamesusa ili wapate nini?!.
Ni swali tuu.
Pasco
Chadema na Cuf ni "project" za CCM....waamuzi wakuu,wasemaji na wenye ushawishi ni CCM yaani Ukawa ni idara ya CCM!Naamini atajibu aliyeulizwa, mi nataka kuchangia kitu hapa.
Binafsi sifahamu kwa sasa CUF wanasimamia nini. Hiki chama kilikuwa sehemu ya Serikali, mapungufu ya ZEC na ya mahakama kama yapo wamepoteza miaka mitano bila kuyarekebisha.
Sifurahishwi na kunyimwa haki lakini ukifikiria kwa upande wa pili ni kama mwenye hiyo haki haihitaji.
Nafasi waliyoipata CUF Zanzibar kama ingepatikana kwa CHADEMA bara hali ingekuwa tofauti sana. Kuna kitu hakipo sawa
Pasco unashabikia vitu vya ajabu sana jitahidi utafute fedha ili uwape watoto wako Elimu bora ebu angalia na kusoma hiki hapa chini hao unaoona hawasusi watoto wao wanasoma kwenye hizo top 10.Wanabodi,
Hili ni swali kuhusu tabia, huu mtindo wa kuzira au kususa, sio tabia za kitoto hizi au tabia za kike?!. Jee ni nini the motive behind kususa, na baada ya kususa, jee hao wasusaji huwa wanakipata walichokusudia?!.
Nakumbuka nikiwa mtoto, kususa ni kuonyesha protest ili kupata attention, kisha ubembelezwe!.
Tabia hizi za kitoto, zimekuwa zikiendelezwa na wanawake, ati akigundua amesaidiwa katika kumhudumia mtu wake, na yeye anasusa kutoa zile huduma, eti nenda kapate kule kule!. Au ukirudi umechelewa sana karibu na asubuhi, anasusa kukufungulia, mlango eti kalele huko huko!.
Baadaye ukimbeleza yanakishwa na life return to normal, ambapo baada ya muda, utapatiwa tena huduma nje, na utachelewa tena kurudi, utasusiwa utanuniwa, utasamehewa and life goes on!.
Kufuatia kususa susa kufanywa zaidi na wanawake, jee huku kususa kisiasa sio tabia za kike?!. Tabia za kiume ni kukabili, kupambana, kufight to the end hadi risasi ya mwisho na tone la mwisho la damu!.
Sasa huku kususa kisiasa, lengo lake ni nini?. Huko kususa, kumewahi kuzaa matunda?!. Kuna msema wa ukisusa wenzio twala, jee kuwasusia ngendere shamba la mahindi, kutasaidia au watu walisusa ili tuu wabembelezwe, na wasipobembelezwa, jee kususa huku kuna faida kwao?!.
Nawatakia Ijumaa Njema.
Pasco
Paskali, sio mwanachama wa chama chochote, sio mkeeketwa, mfuasi, au mshabiki wa chama chochote au mtu yoyote, ila Lowassa nilimkubali sana tuu na bado namkubali, kama nilivyomkubali Zitto, Deo Filikunjombe etc.Ila Pasco wa JF ni shabiki sugu wa Lowassa.
Pasco kiukweli unatia huruma ! maana huku si kushuka wala kuporomoka , yaani sijui niseme umeserereka ? kwa ujumla hoja zako za sasa zinatia aibu , shida nini , njaa ?Wanabodi,
Hili ni swali kuhusu tabia, huu mtindo wa kuzira au kususa, sio tabia za kitoto hizi au tabia za kike?!. Jee ni nini the motive behind kususa, na baada ya kususa, jee hao wasusaji huwa wanakipata walichokusudia?!.
Nakumbuka nikiwa mtoto, kususa ni kuonyesha protest ili kupata attention, kisha ubembelezwe!.
Tabia hizi za kitoto, zimekuwa zikiendelezwa na wanawake, ati akigundua amesaidiwa katika kumhudumia mtu wake, na yeye anasusa kutoa zile huduma, eti nenda kapate kule kule!. Au ukirudi umechelewa sana karibu na asubuhi, anasusa kukufungulia, mlango eti kalele huko huko!.
Baadaye ukimbeleza yanakishwa na life return to normal, ambapo baada ya muda, utapatiwa tena huduma nje, na utachelewa tena kurudi, utasusiwa utanuniwa, utasamehewa and life goes on!.
Kufuatia kususa susa kufanywa zaidi na wanawake, jee huku kususa kisiasa sio tabia za kike?!. Tabia za kiume ni kukabili, kupambana, kufight to the end hadi risasi ya mwisho na tone la mwisho la damu!.
Sasa huku kususa kisiasa, lengo lake ni nini?. Huko kususa, kumewahi kuzaa matunda?!. Kuna msema wa ukisusa wenzio twala, jee kuwasusia ngendere shamba la mahindi, kutasaidia au watu walisusa ili tuu wabembelezwe, na wasipobembelezwa, jee kususa huku kuna faida kwao?!.
Nawatakia Ijumaa Njema.
Pasco
Wanabodi,

Wengine wanajiuza!!Pasco CCM na wewe wamekununua?
Hahahhahahahhaah mna utani nyie.wengine wamefanana na baba zao sasa wakisusa sura zinakuwa vipi?
Pasco. Hili ni jukwaa la siasa lakini sioni chambe ya siasa bali social matters ambayo ungeweka kwenye jukwaa la hoja mchanganyiko.Wanabodi,