Swali kuhusu tabia ya kususa, kugomea au kuzira: Je, si tabia za kike, si utoto?

Hivi we paskali!we hujawahi kususa au kugoma
Ndomana kuna wengine huwa wanagoma kula ilimradi matakwa Yao yatimizwe!hata Mugabe aligoma kula?tena alikuwa mwanasiasa nguli,
So kususa ni kawaida.....

Ova
Halima Mdee aligoma kula pale central police, Je matakwa yake yalisikilizwa kamanda!?
 
Anasa kamanda habari yako!
Itakuwa yalisikilizwa mbona jambo la kawaida
Hata wafungwa wakati wa kudai haki zao huwa wanagoma kula hilo jambo la kawaida tu

Basi sawa kamanda. Uhuru Kenyata anasemaje kuhusu hili la kususia uchaguzi !?
 
Kumsusia mwanamke(yaani mke wa ndio) ni adhabu kubwa kwake kuliko kumpiga, sisi wahenga mke akikuletea za kuleta unampa pesa yake ya matumizi lakini wewe hauli chakula chake ni adhabu kubwa sana kwa mwanamke, ikibidi hata kumsusa yeye mwenyewe kwa muda fulani, hizo ni adhabu za wake. Tatizo vijana kujifanya kujua kwingi kutoa vipigo ndio maana ndoa hazidumu siku hizi
[emoji23] [emoji23] mkuu jaribu hivyo kwa mkeo alafu ulete mrejesho hapa.
 
Hivi we paskali!we hujawahi kususa au kugoma
Ndomana kuna wengine huwa wanagoma kula ilimradi matakwa Yao yatimizwe!hata Mugabe aligoma kula?tena alikuwa mwanasiasa nguli,
So kususa ni kawaida.....

Ova
Mugabe alikuw na stress
 
Wanabodi,

Hili mada ya swali kuhusu tabia ya kususa, huu mtindo wa kuzira au kususia jambo, sio tabia za kike hizi au sio tabia za kitoto?!.

The Motive Behind Kususa.
Jee ni nini the motive behind kususa, na baada ya kususa, jee hao wasusaji huwa wanakipata kile walichokusudia?!.

Nakumbuka nikiwa mtoto, kususa ni kuonyesha protest ili kupata attention, kisha ubembelezwe!. The motive behind kususa kwingi ni ama ku create attention au kutaka kukomoa.

Tabia hizi za kususa ni tabia za kitoto, zimekuwa zikiendelezwa sana na wanawake, kwa leongo la kukomoa, mfano mke, au mpenzi wako wa kike, akigundua kuwa amesaidiwa katika kumhudumia mtu wake, na yeye anaamua kususa kutoa zile huduma, kwa hoja kuwa nenda ukapate hizo huduma kule kule!.

Au mume ukirudi home umechelewa sana usiku mkubwa karibu na alfajiri, huku umelewa, mke anasusa kukufungulia, mlango eti rudi ukalele huko huko ulikotoka!.

Baadaye ukimbeleza mke, anakusamehe, unafunguliwa mlango, mke anarudi room na kukupiga biti usimguse!, ukiendelea kubembeleza, mambo yanakishwa na life goes back to normal, hivyo kwa sisi wanaume wa Kiafrika wenye tabia za Kiafrika, hii tabia ya kususiwa na kusamehewa, ni kitu cha kawaida sana, wengi wa wasusaji, huwa wanasusa kutokana na hasira, lakini hasira zikipoa, kususa huwa kunaisha.

Kufuatia Kususa Kufanywa na Wanawake Zaidi, Jee Kususa Kisiasa Ni Tabia Za Kike?.
Kufuatia kususa susa kufanywa zaidi na wanawake, jee huku kususa kisiasa sio tabia za kike?!. Tabia za kiume ni kukabili, kupambana, kufight to the end hadi risasi ya mwisho na tone la mwisho la damu!.

Kususa Kisiasa, Lengo Lake ni Nini?. Jee Kususa, Huku, Kumewahi Kuzaa Matunda?!.
Kuna msemo wa Kiwahili usemao, "ukisusa wenzio twala", jee kuwasusia ngendere shamba la mahindi, kutasaidia au watu walisusa tuu ili wabembelezwe?, na wasipobembelezwa, jee kususa huku kuna faida kwao?!.

Nawatakia Ijumaa Njema.

Paskali
Paskali umeupandisha uzi huu.
Kwa nini watu wasuse?
Hoja walizotoa katika kususa nazo umziangalia?
Kwa nini usiangalie scenario nzima unakimbilia katika matokeo?
 
Mkuu The Big Boss, naomba nikuhakikishie katika maisha yangu yote, sijawahi kuwa mwanachama wa chama chochote cha siasa. Paskali, hanunuliki na yeyote kwa lolote kwa sababu hana price tag. Mimi ni priceless, sio CCM wa Chadema, wala Ukawa, wala Lowassa wala Magufuli, ana uwezo wa kuninunua, kwa sababu I'm not for sale, na sina any price tag!.

Naomba uniamini hili ni swali tuu, nimeuliza hawa wanaosusa, wamesusa ili wapate nini?!.

Ni swali tuu.

Paskali
We c ndo jamaa wanakuita njaa na utanunuliwa tu kwa njaa za kiwango hichi
 
BADO KIDOGO JINA LAKO NITALIFIKISHA, KUNA WAKUU WA WILAYA WAWILI NI WALEVI HAWANA MSAADA KWA WANANCHI NA HAWAENDANI NA KASI YA AWAMU HII, ENDELEA KUPOST MADA ZA AINA HII ILI NIKUKUMBUKE., SI UNAJUA MPO WENGI NYINYI.
 
Amchague haraka sana maana dah!
..[HASHTAG]#paskali[/HASHTAG] anabidii sana

Ova
 
Wanabodi,

Hili mada ya swali kuhusu tabia ya kususa, huu mtindo wa kuzira au kususia jambo, sio tabia za kike hizi au sio tabia za kitoto?!.

The Motive Behind Kususa.
Jee ni nini the motive behind kususa, na baada ya kususa, jee hao wasusaji huwa wanakipata kile walichokusudia?!.

Nakumbuka nikiwa mtoto, kususa ni kuonyesha protest ili kupata attention, kisha ubembelezwe!. The motive behind kususa kwingi ni ama ku create attention au kutaka kukomoa.

Tabia hizi za kususa ni tabia za kitoto, zimekuwa zikiendelezwa sana na wanawake, kwa leongo la kukomoa, mfano mke, au mpenzi wako wa kike, akigundua kuwa amesaidiwa katika kumhudumia mtu wake, na yeye anaamua kususa kutoa zile huduma, kwa hoja kuwa nenda ukapate hizo huduma kule kule!.

Au mume ukirudi home umechelewa sana usiku mkubwa karibu na alfajiri, huku umelewa, mke anasusa kukufungulia, mlango eti rudi ukalele huko huko ulikotoka!.

Baadaye ukimbeleza mke, anakusamehe, unafunguliwa mlango, mke anarudi room na kukupiga biti usimguse!, ukiendelea kubembeleza, mambo yanakishwa na life goes back to normal, hivyo kwa sisi wanaume wa Kiafrika wenye tabia za Kiafrika, hii tabia ya kususiwa na kusamehewa, ni kitu cha kawaida sana, wengi wa wasusaji, huwa wanasusa kutokana na hasira, lakini hasira zikipoa, kususa huwa kunaisha.

Kufuatia Kususa Kufanywa na Wanawake Zaidi, Jee Kususa Kisiasa Ni Tabia Za Kike?.
Kufuatia kususa susa kufanywa zaidi na wanawake, jee huku kususa kisiasa sio tabia za kike?!. Tabia za kiume ni kukabili, kupambana, kufight to the end hadi risasi ya mwisho na tone la mwisho la damu!.

Kususa Kisiasa, Lengo Lake ni Nini?. Jee Kususa, Huku, Kumewahi Kuzaa Matunda?!.
Kuna msemo wa Kiwahili usemao, "ukisusa wenzio twala", jee kuwasusia ngendere shamba la mahindi, kutasaidia au watu walisusa tuu ili wabembelezwe?, na wasipobembelezwa, jee kususa huku kuna faida kwao?!.

Nawatakia Ijumaa Njema.

Paskali
Ni tabia ya kitoto kwenye vyama wanawake wamo We do not run away from problems instead we face and overcome them
 
kWA MTAZAMO WAKO UNADHANI TANZANIA TUNAFANYA UCHAGUZI WA VYAMA VINGI KWA SASA AU NI UCHAGUZI WA CCM NA KURA ZAO ZA NDIO/HAPANA???? KUNA JAMBO LINAHITAJI KUSAHIHISHWA KWANZA KABLA YA KUINGIA KATIKA UCHAGUZI.
 
Huwezi kutumia nguvu zako kuingiza timu huku ukijua tayari mshindi ni fulani sio ushindi tu ila ameshinda kwa hila na hizo hila ulizijua kabla ya kuingiza timu uwanjani na huna namna ya kuzizuia hizo hila maana adui yako ndio kila kitu..
Yeye ndio huamua nani waamuzi wa mechi, yeye ndio hulipia mashabiki hela za kiingilio, yeye ndio hulipia gharama za matangazo, yeye ndio huchagua kiwanja, yeye ndio hupanga mpaka aina ya jezi na vifaa vyoote.

Wapinzani mkiendelea kulialia na kucheka cheka hakuna siku mtafanikiwa, Tafuteni njia nyingine ya kupambana na adui..
 
Back
Top Bottom