Swali Kuhusu Thamani Kuu ya Tundu Lissu Ndani ya Chadema ni Ipi Kati ya Uwezo wa Uenyekiti wa Chadema au Uwezo wa Kuiingiza Chadema Ikulu 2025 ?

Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined
Sep 22, 2008
Posts
53,857
Reaction score
121,995
Wanabodi,
bandiko hili ni bandiko la swali kuhusu uwezo, ability,na uwezekano wa kuwezekanika,yaani capability ya umuhimu mkubwa zaidi wa Tundu Lissu ndani Chadema,ni uwezo wa uongozi kama mwenyekiti wa Chadema kuiongoza Chadema kuwa chama imara kuweza kuipumzisha CCM na kuiingiza Chadema ikulu 2025?,au an individual ability ya Tundu Lissu kuiingiza Chadema ikulu kwa Lissu kumshinda kirahisi mgombea wa CCM wa 2025 kwa sababu anajulikana?。 Iwapo CCM wataamua kubadili ngombea na kuleta chuma kingine kama Makonda,Biteko,Kitila,Bashungwa au chuma kingine chochote kati ya vyuma vyake, je Tundu Lissu atafurukuta?。

Karibuni tujadili。
1。 Tuanze na Mwenyekiti Mbowe,hakuna ubishi kuhusu uwezo wa Mbowe kama Mwenyekiti wa Chadema,tatizo ni Mbowe ame overstay,hivyo kufikia point ya saturated solution,it can take no more than it can,yaani Mbowe hapo alipofika,amefikia optimum ya uwezo wake hawezi kufanya chochote zaidi ya ukinganganizi wa kung'ang'ania madaraka kwa excuse ya hakuna mwingine yoyote anayeweza,hivyo kwangu mimi ile siku Mbowe ametangaza kutetea kiti chake,that was the end of ndoto ya Lissu kuwa mwenyekiti Chadema kwasababu Mbowe ni undefitable!Kuelekea 2025 - Baada ya Mbowe kutetea uenyekiti wake, masikini Tundu Lissu, kwishney! Je, atabaki ama atatimka? Lissu Cool down, usiitishe Press kumjibu Mbowe!

2。Tukija Tundu Lissu ,Lissu ni mwanaharakati, kwa uwezo wa uongozi na karama ya uongozi Lissu hana,ila kutokana na kuchusa kwa Mbowe,Lissu anaonekana ni afadhali,lakini Lissu kama Lissu,uenyekiti wa Chedema,Lissu hauwezi,ila awekewe ma teknocrats wazuri chini yake kama JJ Mnyika,Mbowe abaki mshauri。

Thamani kubwa ya Lissu ni uwezo wake wa kumbwaga mgombea wa CCM, mapema tuu asubuhi,hivyo kama Chadema,wanaitaka ikulu,2025,provided mgombea wa CCM ni huyu wa mserereko,then mtu wa kwenda nae ni TAL Japo Lowassa Alikuwa a Liability CCM, Akawa Asset Chadema. Lissu is a Very Bad Liability, but is The Only Asset Chadema Has Kuwangiza Ikulu!. Je... ?

3。 Kama Chadema wapo wapo tuu ili kuendelea kupiga pesa ya Ma Abduli na kuvuta ruzuku,then mtu wa kwenda nae ni Mbowe Kuelekea 2025 - Kama CCM Itamsimamisha Rais Samia 2025, Mnaonaje Freeman Mbowe Awe Mgombea wa Upinzani? Atapiga Ndege 3 kwa Jiwe Moja, Atavuna Wabunge Wengi ila...

4。 The situation ya Chadema ama imchague Lissu iimarike na kuingia ikulu,au imchague Mbowe ibaki hivyo hovyo ilivyo kuendelea kupiga pesa,ni sawa na ule msemo wa kizungu,“you can't eat your cake and have it”, you either eat your cake and its gone,or dont eat it and have it, ukimchagua Mbowe,una mpoteza Lissu na hakuna kwenda ikulu,ukimchagua Lissu unampoteza Mbowe kwenye uenyekiti,lakini Chadema kinaingia Ikulu,Mbowe anakuwa PM!, kipi bora?。

5。Kwa vile thamani kuu ya Tundu Lissu ndani ya Chadema sio uenyekiti wa Chadema,bali ni uwezo wake kuiingiza Chadema ikulu 2025,then its possible kwa Chadema,to eat its cake and have it,kwa Lissu kujitoa kugombea uenyekiti kwa Lissu kusema ameamua kumpisha Mbowe,na Mbowe akaamua kumpisha Lissu kwenye kugombea urais,2025, ikawa wote ni washindi,Chadema haimegeki,Lissu hashindwi, wote wanakuwa ni winners,Mbowe Mwenyekiti,Lissu mgombea urais anayeiingiza Chadema Ikulu, Mbowe atakuwa PM,na Chadema itakuwa supper, ila hili litokee ni iwapo mgombea wa CCM 2025 ni huyu wa mserereko,kama CCM wataamua kugeuza kibao,wakamsimamishia Lissu chuma,Lissu inakula kwake,Chadema inapigwa chini jumla!。

Hivyo the determinant ya Lissu akigombea urais kama ana shinda au hashindi,lies with CCM itamsimamisha nani,wakisimamisha chuma,Lissu anabananishwa, hafurukuti,hapumui!。

The choice is theirs!。

Paskali
 
Wanabodi,
bandiko hili ni bandiko la swali kuhusu uwezo, ability,na uwezekano wa kuwezekanika,yaani capability ya umuhimu mkubwa zaidi wa Tundu Lissu ndani Chadema,ni uwezo wa uongozi kama mwenyekiti wa Chadema kuiongoza Chadema kuwa chama imara kuweza kuipumzisha CCM na kuiingiza Chadema ikulu 2025?,au an individual ability ya Tundu Lissu kuiingiza Chadema ikulu kwa Lissu kumshinda kirahisi mgombea wa CCM wa 2025 kwa sababu anajulikana?。 Iwapo CCM wataamua kubadili ngombea na kuleta chuma kingine kama Makonda,Biteko,Kitila,Bashungwa au chuma kingine chochote kati ya vyuma vyake, je Tundu Lissu atafurukuta?。

Karibuni tujadili。

Paskali
Tundu Lisu hawezi kufurukuta maana hakuna uchaguzi bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Huu uzi wako ungekuwa na maana kama kuna uchaguzi wa kweli, na sio huo uhuni wa kipuuzi uitwao uchaguzi.
 
Tundulisu hapo anatafuta njia ya kuondokea chdema.hana jipya . Uchaguzi huu hatashinda na ndio sababu ya kuhama chadema.kuliko angeondoka kwa kashfa ya kununuliwa.
 
Hao wote uliowataja hapo hamna anayeweza kupambana na Lissu, Magufuli na yake yote 2020 alisepa na kijiji

CCM itashinda sio kwa uchaguzi huru na haki, itashinda kama inavyo shindaga siku zote, Mshazoea vya kunyonga nyie

2025 hata huyo mgombea wa ccm anayejulikana atashinda tu na wote tunajua kwanini atashinda

Kwa mfumo huu katiba na tume ya uchaguzi hata ccm waweke jiwe litakuwa Rais tu

Kiburi cha ccm kitaisha siku wananchi wakisema basi sasa imetosha tugawane mbao

kujibu swali lako thamani ya Tundu Lissu ni ipi ni mtu kama yeye ndiye atakaye wafikisha wananchi kwenye tipping point
ya kugawana mbao.
 
Wanabodi,
bandiko hili ni bandiko la swali kuhusu uwezo, ability,na uwezekano wa kuwezekanika,yaani capability ya umuhimu mkubwa zaidi wa Tundu Lissu ndani Chadema,ni uwezo wa uongozi kama mwenyekiti wa Chadema kuiongoza Chadema kuwa chama imara kuweza kuipumzisha CCM na kuiingiza Chadema ikulu 2025?,au an individual ability ya Tundu Lissu kuiingiza Chadema ikulu kwa Lissu kumshinda kirahisi mgombea wa CCM wa 2025 kwa sababu anajulikana?。 Iwapo CCM wataamua kubadili ngombea na kuleta chuma kingine kama Makonda,Biteko,Kitila,Bashungwa au chuma kingine chochote kati ya vyuma vyake, je Tundu Lissu atafurukuta?。

Karibuni tujadili。

Paskali
Kwa tume hii na tulichoona 2020 na 2024 CCM hata wakimsimamisha Ambaruty atakuwa Rais wa Tanzania.
 
Tundu Lisu hawezi kufurukuta maana hakuna uchaguzi bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Huu uzi wako ungekuwa na maana kama kuna uchaguzi wa kweli, na sio huo uhuni wa kipuuzi uitwao uchaguzi.
Lissu akiwa mwenyekiti na mgombea mambo mengi yatakaa sawa na at least tunaweza kuwa na kitu kinachoitwa uchaguzi, japo muda sio rafiki sana
Lissu no radical na anal uthubutu kindakindaki kisha anajua kupeleka moto vibaya mno
 
Tundu Lisu hawezi kufurukuta maana hakuna uchaguzi bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Huu uzi wako ungekuwa na maana kama kuna uchaguzi wa kweli, na sio huo uhuni wa kipuuzi uitwao uchaguzi.
Suluhisho ni nini?
 
1。 Tuanze na Mwenyekiti Mbowe,hakuna ubishi kuhusu uwezo wa Mbowe kama Mwenyekiti wa Chadema,tatizo ni Mbowe ame overstay,hivyo kufikia point ya saturated solution,it can take no more than it can,yaani Mbowe hapo alipofika,amefikia optimum ya uwezo wake hawezi kufanya chochote zaidi ya ukinganganizi wa kung'ang'ania madaraka kwa excuse ya hakuna mwingine yoyote anayeweza,hivyo kwangu mimi ile siku Mbowe ametangaza kutetea kiti chake,that was the end of ndoto ya Lissu kuwa mwenyekiti Chadema kwasababu Mbowe ni undefitable!Kuelekea 2025 - Baada ya Mbowe kutetea uenyekiti wake, masikini Tundu Lissu, kwishney! Je, atabaki ama atatimka? Lissu Cool down, usiitishe Press kumjibu Mbowe!
P
 
1。 Tuanze na Mwenyekiti Mbowe,hakuna ubishi kuhusu uwezo wa Mbowe kama Mwenyekiti wa Chadema,tatizo ni Mbowe ame overstay,hivyo kufikia point ya saturated solution,it can take no more than it can,yaani Mbowe hapo alipofika,amefikia optimum ya uwezo wake hawezi kufanya chochote zaidi ya ukinganganizi wa kung'ang'ania madaraka kwa excuse ya hakuna mwingine yoyote anayeweza,hivyo kwangu mimi ile siku Mbowe ametangaza kutetea kiti chake,that was the end of ndoto ya Lissu kuwa mwenyekiti Chadema kwasababu Mbowe ni un defitable!
P
Naona umeanza zile akili zakoza kutegeshea….. kujining’iniza katikati ili baadae ujiangushe kijanja kwenye upande unaoona umechukua point!! Una akili za hovyo sana.
 
1。 Tuanze na Mwenyekiti Mbowe,hakuna ubishi kuhusu uwezo wa Mbowe kama Mwenyekiti wa Chadema,tatizo ni Mbowe ame overstay,hivyo kufikia point ya saturated solution,it can take no more than it can,yaani Mbowe hapo alipofika,amefikia optimum ya uwezo wake hawezi kufanya chochote zaidi ya ukinganganizi wa kung'ang'ania madaraka kwa excuse ya hakuna mwingine yoyote anayeweza,hivyo kwangu mimi ile siku Mbowe ametangaza kutetea kiti chake,that was the end of ndoto ya Lissu kuwa mwenyekiti Chadema kwasababu Mbowe ni un defitable!
P
Let's wait n see.
 
Matokeo ya urais na viongozi wengine ngazi zote ndani ya nchi HAIAMULIWI na Sanduku la kura....hilo Pascal Mayalla unalijua.

Tunamtaka Lissu kwanza ili aweze kurudisha hii HAKI iliyopotea...watu kufanya wanayotaka.

Lissu na Heche hamtawafanyia huo upuuzi kama 2019, 2020 na 2024 rejea chaguzi zilizofanyika miaka hiyo
 
Back
Top Bottom