Think tank wa CCM humu johnthebaptist anakuja na majibu!!Wakuu kunasehemu nimekuta hili swali, na likanifikirisha sana. "Kama ccm imeshindwa kusimamia bandari ambayo hata haizidi kilometa 10 mpaka wanaamua kubinafisisha je wataweza kweli kutuongoza watanzania ambao tuko mil 60 hadi tupate maendeleo tunayo sthili?"
Mimi nandika kitabu fikirisha cha ujasiamli kitaweza kuisadia jamii maana kinajadili kwa kina mjasiriamali ambavyo anatakiwa aenende kwenye biashara na jinsi ya kukabiriana na yanayomzunguka. Kwenye ujasiriamali tunajifunza kwamba asilimia 80 ya mafaniko yanamtegemea mjasiriamali mwenyeye na hiyo asilimia nyingine ni mjasiriamali na yanayo muzunguka na hapo ndiyo patamu, samahani lakini nimekianadika kwa kimombo japo haitachukua muda mrefu kuandika kwa lugha aushi lugha mama ya kiswahili.Stay tuned coming out soonSomo la private na public enterprises inabidi lianze kuimbwa kila Kona ya kijiji watanzania waelwe, CCM kutoa kipaumbele Kwa private sector si kwamba umeshindwa kuongoza nchi Ila imepima kipi chenye manufaa na kuamua kwenda nacho
Kwa hiyo siku hizi kwenye ubinafsishaji maana yake vyama vimeshindwa kuongoza?Wakuu kunasehemu nimekuta hili swali, na likanifikirisha sana. "Kama ccm imeshindwa kusimamia bandari ambayo hata haizidi kilometa 10 mpaka wanaamua kubinafisisha je wataweza kweli kutuongoza watanzania ambao tuko mil 60 hadi tupate maendeleo tunayo sthili?"
Safi kabisa tusaidizane kufundisha na kuelimisha jamii Kwa manufaa ya nchi yetu.Mimi nandika kitabu fikirisha cha ujasiamli kitaweza kuisadia jamii maana kinajadili kwa kina mjasiriamali ambavyo anatakiwa aenende kwenye biashara na jinsi ya kukabiriana na yanayomzunguka. Kwenye ujasiriamali tunajifunza kwamba asilimia 80 ya mafaniko yanamtegemea mjasiriamali mwenyeye na hiyo asilimia nyingine ni mjasiriamali na yanayo muzunguka na hapo ndiyo patamu, samahani lakini nimekianadika kwa kimombo japo haitachukua muda mrefu kuandika kwa lugha aushi lugha mama ya kiswahili.Stay tuned coming out soon
Usimbeze ndugu, kwani we husikii pale wasemapo tunatekeleza sera? Mara kila mtumishi awe na sera za chama ofisini maana ndio zinazotekekezwa......bla bla nyingi. Kwa maana hiyo hata bandarini ni sera za CCM zinatekelezwa..ndo sasa hoja yake hii inapopata mashiko!Kwa hiyo siku hizi kwenye ubinafsishaji maana yake vyama vimeshindwa kuongoza?
Umeishia darasa la ngapi?
Dhumuni la ubinafsishaji ni kuongeza ufanisi na mapatoUsimbeze ndugu, kwani we husikii pale wasemapo tunatekeleza sera? Mara kila mtumishi awe na sera za chama ofisini maana ndio zinazotekekezwa......bla bla nyingi. Kwa maana hiyo hata bandarini ni sera za CCM zinatekelezwa..ndo sasa hoja yake hii inapopata mashiko!
Mkuu hayo yote mengine alishayaona, ya Loliondogate, na wanyama hai kusombwa namikataba mibovu na makampuni ya madini, lakini hili la bandari lmimkera kupita kiasi.Alieuliza swali hilo ni mjinga sana!
Yeye kaona Bandari TU!!?hajaona MADINI,mbuga za wanyama n.k!!?
Kwani tangu ubinafsishaji uanze ni leo ndio kaona mikataba inaingiwa!!?
Kwani mkuu kuongoza kunajumuisha nini?Kwa hiyo siku hizi kwenye ubinafsishaji maana yake vyama vimeshindwa kuongoza?
Umeishia darasa la ngapi?
Sera ambazo hazina muelekeo chanyaUsimbeze ndugu, kwani we husikii pale wasemapo tunatekeleza sera? Mara kila mtumishi awe na sera za chama ofisini maana ndio zinazotekekezwa......bla bla nyingi. Kwa maana hiyo hata bandarini ni sera za CCM zinatekelezwa..ndo sasa hoja yake hii inapopata mashiko!
Mkuu hapo ndio swali, imekuwaje miaka yote serekali inayotokana na ccm miaka yote, tokea uhuru ishindwe kukomesha huo ubabaishaji wa bandari. Uteuzi wa uongozi wa bandari na usimamizi ulikuwa chini ya nani, kama si serekali ya ccm.Kwamba ccm ni chama la mafisadi hilo halina ubishi. Ila kwenye hili la bandari hata kama ccm wamekula rushwa kama jadi Yao ni bora mara mia kuliko ubabaishaji uliokua unaendelea bandarini
Unaona sasa! Ndo maana tunahoji ufanisi na mapato ni mpaka tuwape wageni tu. Hata CCM Bashiru aliona madudu mengi kwenye mikataba, kwanini isichukuliwe na wawekezaji ili kuongeza ufanisi wake?Dhumuni la ubinafsishaji ni kuongeza ufanisi na mapato