Hili ni swali la msingi kabisa asante sana mleta mada!Wakuu kuna sehemu nimekuta hili swali, na likanifikirisha sana. "
Kama CCM imeshindwa kusimamia bandari ambayo hata haizidi kilometa 10 mpaka wanaamua kubinafisisha je wataweza kweli kutuongoza watanzania ambao tuko mil 60 hadi tupate maendeleo tunayostahili?"