Katibu wa DP ni mzalendo na mwanasiasa haswa....
Hawa ndio wanaojua heshima na utu Siasani.....
Hawa ndio wanaopongeza pale panapohitaji kupongeza.....
Ameunga mkono kauli ya mh.Rais juu ya TAHARUKI inayoendelea nchini......kosa lake liwapi ?!!
Wewe humwungi mkono mh.Rais juu ya kauli yake na amri yake ya kuyachunguza haya yanayotusibu hapa nchini ?!!
Nalipenda taifa langu nawapenda watanzania wenzangu.....Kwani wewe hutaki kuwajua watekaji wakapate kuwajibishwa?
Kama kwa miaka yote hawajawahi kupatikana hudhani uchunguzi huru ndiyo iliyokuwa njia pekee ya kwenda ili kuwafahamu?
Nalipenda taifa langu nawapenda watanzania wenzangu.....
Natamani muda huu wawajibishwe....
Huo uchunguzi huru unataka uundwe kupitia njia zipi....nipe elimu mkuu wangu..
Phone hacking scandal investigations worlwide were the failure of "your Scotland yard".....Ni ukweli usiopingika hawa hawawezi kutusaidia:
View attachment 3099266
Hezbollah Lebanon analia kilio cha mbwa koko kwa kuzidiwa vilivyo Teknolojia.
Scotland yard wamewahi kutimba hapa ilipokuwa lazima.
Si hapa tu, usaidizi panapo dharura na nia haujawahi kuwa jambo jipya!
Hadi Hapo unasema ke ndugu?
Huyu Kiongozi ana shida ya kutaja miaka Mfano. Alisema sasa hivi ni 2020, anasema Mfumo wa vyama vingi ulianza 2012...Clip inajieleza wazi:
View attachment 3099245
Kulikoni kiongozi huyu kukasirishwa mno na swali hili?
Phone hacking scandal investigations worlwide were the failure of "your Scotland yard".....
Acha kukariri....jamaa wana mapungufu pia na si malaika.....
Msikilize vizuri....Huyu Kiongozi ana shida ya kutaja miaka Mfano. Alisema sasa hivi ni 2020, anasema Mfumo wa vyama vingi ulianza 2012...
Wapi nimewafananisha na hao unaowadogosha ?!!Scotland yard utawalinganisha na hao wanaopata zero Std III D?
Wacha kujipa moyo ndugu.
Yako wapi majibu ya uchunguzi wowote?
Au ki Mulah Mulah kifo ni kifo tu ndugu nacho hupangwa na Mungu?
Huyu Kiongozi ana shida ya kutaja miaka Mfano. Alisema sasa hivi ni 2020, anasema Mfumo wa vyama vingi ulianza 2012...
Wapi nimewafananisha na hao unaowadogosha ?!!
Nilichosisitiza ni kuwa SY si malaika....wana shortcomings nyingi tu.....nyingine za *international lobbyings hasa corporate entities"....fungua fikra zaidi.....
Clip inajieleza wazi:
View attachment 3099245
Kulikoni kiongozi huyu kukasirishwa mno na swali hili?
Tanzania hakuan Rais asiyekuwa na Damu mikononi mwake .... Hii system ys China, Rusia, Cuba Venezuela na North Korea itapeleka viongozi wetu wengi MOTONI........!!
Hudhani JKN, JMK walikuwa na uso wa kibinadamu zaidi?
Imagine ni KM wa ChamaMwandishi kauliza swali zuri ila huyo jamaa mpuuzi
Wanapisha extent tu .... Ila huyu, pamoja na 4R zake, anaelekea atawazidi watangulizi wake kwa mbali.
Hakuna kitengo cha serikali kinachodili na "analysis" na forensic kikawa na "vilaza-academic failures"....Wapi niliposema hao ni malaika.
Nilichosema miye hao wa kwako humo hata walio poorer kuliko darasa la III Kayumba pale wamo!
Kwa makasiriko yako vipi, kwani wewe ni mmoja wao?
Motoni wapi ?!!Tanzania hakuan Rais asiyekuwa na Damu mikononi mwake .... Hii system ys China, Rusia, Cuba Venezuela na North Korea itapeleka viongozi wetu wengi MOTONI........!!
Hakuna kitengo cha serikali kinachodili na "analysis" na forensic kikawa na "vilaza-academic failures"....
Brazaj unakwama wapi ?!! 🤣
Speculations?Wanaitwa vipenyo hao - "Penetration Officers."
Pande za kwetu hicho no cheo rasmi cha mtumishi wa umma.