Swali kumhusu Lissu lamkera Katibu Mkuu DP

Swali kumhusu Lissu lamkera Katibu Mkuu DP

Mkuu unadhani wasiojulikana hawajulikani au hata hawajuani?

Kwani taarifa za uchunguzi upi ziko wapi?

Hivi unaelewa hata uchunguzi huru una maana gani?

Mkunazi Njiwa unakwama wapi?!!
Bora ya mh.Mbowe kutaka kuwepo TUME YA KIJAJI....na si hao SY.....

Unadhani ni polisi pekee watakaochunguza kadhia hizi ?!!

Rejea hotuba ya mh.Rais kuvitaka "vyombo" kuchunguza.....

Unatelezea wapi mkuu wangu ?!!
 
Unaonyesha kuwa na hofu sana na uchunguzi ulio huru.

Una mashaka wakatajwa wahusika bila kujali vyeo?

Kwani nani hadi sasa amekuwa cleared hahusiki?
 
Motoni wapi ?!!

Mwenyezi Mungu hapendi "hiliki ya jamii "...

Viongozi wanalinda maslahi ya nchi kwa njia yoyote ile....wewe vipi ?!! 🤣

Alisikika akisema:

"Kifo cha Ali Kibao hakiwezi kuhalalishwa kwa namna yoyote."

Tatizo kukosekana consistency!
 
Back
Top Bottom