Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
Bora ya mh.Mbowe kutaka kuwepo TUME YA KIJAJI....na si hao SY.....Mkuu unadhani wasiojulikana hawajulikani au hata hawajuani?
Kwani taarifa za uchunguzi upi ziko wapi?
Hivi unaelewa hata uchunguzi huru una maana gani?
Mkunazi Njiwa unakwama wapi?!!
Bora ya mh.Mbowe kutaka kuwepo TUME YA KIJAJI....na si hao SY.....
Unadhani ni polisi pekee watakaochunguza kadhia hizi ?!!
Rejea hotuba ya mh.Rais kuvitaka "vyombo" kuchunguza.....
Unatelezea wapi mkuu wangu ?!!
Motoni wapi ?!!
Mwenyezi Mungu hapendi "hiliki ya jamii "...
Viongozi wanalinda maslahi ya nchi kwa njia yoyote ile....wewe vipi ?!! 🤣
kwakuwa unaitwa mchekeshaji basi ngoja tukuchukulie kama Muhogo mchungu au kinyambeCCM ni MAJAMBAZI, Chadema ni majambazi
Motoni wapi ?!!
Mwenyezi Mungu hapendi "hiliki ya jamii "...
Viongozi wanalinda maslahi ya nchi kwa njia yoyote ile....wewe vipi ?!! 🤣
Wanajeshi wameapa kuyalinda maslahi ya nchi kwa kuua na kuuawa....Maslahi ya nchi kwa kuwauwa .....!!? Kwa nini wasiwakamate na kuwafikisha kwenye vyombo vya sheria!!?
Wanajeshi wameapa kuyalinda maslahi ya nchi kwa kuua na kuuawa....
#Nchi Kwanza😍
Na alie jibu kajikuta kajibu mpaka basiMtangazaji kauliza swali zuri,
Mtikila alipigwa risasi?
Alijuaje kama hataulizwa kuhusu mtikila
Wanajeshi wameapa kuyalinda maslahi ya nchi kwa kuua na kuuawa....
#Nchi Kwanza😍