Swali: Kutokwenda PM na kutojuana na watu nje ya JF ni ufahari?

Watu wa jeiefu ndio hao hao watu wa kitaa...utofauti ni kuwa jeiefu ni virtual world wkt kitaa ni ulimwengu halisi...
 
Nimechat nao wa kutosha, nimekutana nao wengi tu toka jf, ila chats kwa watu kama sisi tunaopenda flirting inaweza isiwe sehemu salama sana coz "safari moja huanzisha nyingine".
 
JF bwana, watu wanakujua zaidi ya unavyojijua, kuna vitu nikikumbuka nacheka sana.
Faili langu ulipewa fake. Kwanza hata nikiliwa haiwezi kuwa na hizi ID zinazoonekana niamini Mimi..
 
Yaani watu wanajua watu halafu kwa story za uongo. Kuna member alisema nakaa Ilala kwanza nikacheka nikasema huyu kadanganywa na sababu anapenda kudanganywa akaamini.
JF bwana, watu wanakujua zaidi ya unavyojijua, kuna vitu nikikumbuka nacheka sana.
 
Lol
Nimechat nao wa kutosha, nimekutana nao wengi tu toka jf, ila chats kwa watu kama sisi tunaopenda flirting inaweza isiwe sehemu salama sana coz "safari moja huanzisha nyingine".
 
Hahahaaa. Kweli hatuna jema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…