Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sijawahi kwenda PM wala sitaenda!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sijawahi kwenda PM wala sitaenda!
Na sijawahi kuonana na mtu wa jf na sitaki kabisa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Teh teh tehhhh..Na sijawahi kuonana na mtu wa jf na sitaki kabisa...
Mkuu una IDs tatu niniii...maana sio kwa kicheko hiki.Teh teh tehhhh..
Hapana mkuu. Nmefurahi kusikia kuwa hutumii pm wala hujawah kuonana na mtu humu. That is good...[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Mkuu una IDs tatu niniii...maana sio kwa kicheko hiki.
Ndio hivyo mkuu..Hapana mkuu. Nmefurahi kusikia kuwa hutumii pm wala hujawah kuonana na mtu humu. That is good...[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Faili langu ulipewa fake. Kwanza hata nikiliwa haiwezi kuwa na hizi ID zinazoonekana niamini Mimi..
JF bwana, watu wanakujua zaidi ya unavyojijua, kuna vitu nikikumbuka nacheka sana.
Mbona hamna jema, mnasema kujuana na mtu si vibaya wala kwenda pm si vibaya.
Haya mtu kaja na kakusalimia "sema mrwmbo" tena unashangaa na kuanza kucheka eti anakuitaje mreto hata hakujui sasa si ndo mwanzo wa kujuana.
Eti vp akiwa dume mwenzio, ndio maana hujawa dume mwenzake ungemjibu tu mbona usingepungukiwa.
Wazigua hatuna jema
Lol, ndio umefurahi ama nini we binti.