Swali: Kutokwenda PM na kutojuana na watu nje ya JF ni ufahari?

Swali: Kutokwenda PM na kutojuana na watu nje ya JF ni ufahari?

Watu wa jeiefu ndio hao hao watu wa kitaa...utofauti ni kuwa jeiefu ni virtual world wkt kitaa ni ulimwengu halisi...
 
Nimechat nao wa kutosha, nimekutana nao wengi tu toka jf, ila chats kwa watu kama sisi tunaopenda flirting inaweza isiwe sehemu salama sana coz "safari moja huanzisha nyingine".
 
Yaani watu wanajua watu halafu kwa story za uongo. Kuna member alisema nakaa Ilala kwanza nikacheka nikasema huyu kadanganywa na sababu anapenda kudanganywa akaamini.
JF bwana, watu wanakujua zaidi ya unavyojijua, kuna vitu nikikumbuka nacheka sana.
 
Lol
Nimechat nao wa kutosha, nimekutana nao wengi tu toka jf, ila chats kwa watu kama sisi tunaopenda flirting inaweza isiwe sehemu salama sana coz "safari moja huanzisha nyingine".
 
Hahahaaa. Kweli hatuna jema
Mbona hamna jema, mnasema kujuana na mtu si vibaya wala kwenda pm si vibaya.

Haya mtu kaja na kakusalimia "sema mrwmbo" tena unashangaa na kuanza kucheka eti anakuitaje mreto hata hakujui sasa si ndo mwanzo wa kujuana.
Eti vp akiwa dume mwenzio, ndio maana hujawa dume mwenzake ungemjibu tu mbona usingepungukiwa.

Wazigua hatuna jema
 
Back
Top Bottom