Sio kweli,mnatutesa sana ndio maana hatuingii,wengine tumeamua kumalizana humu humu changanyikeni......! Liwalo na liwe.Hahahahahaaa.. Nyie si mmeumbiwa mateso lakini?
Je ni kweli wanakuwa hawajawahi kwenda au ndio kujifaharisha unako kusema ?Ukiachana na hao kadhaa ni wengi yani wanasemaga pm sijawahi kwenda
Sometimes mtu anaandika tu, ili uwepo wake uonekane, usiwajali.Naonaga watu kadhaa huku wanasema au kushangaa Kama watu tunajuana na wengine nje ya humu. Lakini unakuta Kati ya hao wanaoshangaa wanakesha pm au umeshaonana nao mtaani lakini wakiwa huku wanajifanya na wao wageni.
Je ni kitu kibaya kujuana na watu nje ya hapa?
Kama sio kitu kibaya kwanini watu hupenda kuruka kimanga kuhusu kwenda pm au kuwasiliana na watu nje ya hapa?
Kuna muda najiuliza sasa hata nanihii anasema haendagi pm Kwa MTU wala hajawahi onana na MTU Ina maana yule niliekutana nae mwenye ID fulani sie au kitu gani
Hivi kuna umbali gani hapa na PM ?Sawaaa. Niko njiani nakuja huko
Dah, na mimi jamani...Eeeh unaweza ukawa ni wewe
Si ufahari mkuuNaonaga watu kadhaa huku wanasema au kushangaa Kama watu tunajuana na wengine nje ya humu. Lakini unakuta Kati ya hao wanaoshangaa wanakesha pm au umeshaonana nao mtaani lakini wakiwa huku wanajifanya na wao wageni.
Je ni kitu kibaya kujuana na watu nje ya hapa?
Kama sio kitu kibaya kwanini watu hupenda kuruka kimanga kuhusu kwenda pm au kuwasiliana na watu nje ya hapa?
Kuna muda najiuliza sasa hata nanihii anasema haendagi pm Kwa MTU wala hajawahi onana na MTU Ina maana yule niliekutana nae mwenye ID fulani sie au kitu gani
Kwanini uwaze kua kutokwenda pm ni ufahari? kwani neno ufahari unalitafsiri vipi kwa mtazamo wako? kwanini usione tu kua ni jambo la kawaida kutokana na maamuzi ya mtu?Naonaga watu kadhaa huku wanasema au kushangaa Kama watu tunajuana na wengine nje ya humu. Lakini unakuta Kati ya hao wanaoshangaa wanakesha pm au umeshaonana nao mtaani lakini wakiwa huku wanajifanya na wao wageni.
Je ni kitu kibaya kujuana na watu nje ya hapa?
Kama sio kitu kibaya kwanini watu hupenda kuruka kimanga kuhusu kwenda pm au kuwasiliana na watu nje ya hapa?
Kuna muda najiuliza sasa hata nanihii anasema haendagi pm Kwa MTU wala hajawahi onana na MTU Ina maana yule niliekutana nae mwenye ID fulani sie au kitu gani
Unapata wapi ujasiri wa kuanzisha convo na fake id? Acha niendelee kuwa msomaji nafikiri naenjoy zaidi kuliko nikianza marathon za huko pmKwanini uwaze kua kutokwenda pm ni ufahari? kwani neno ufahari unalitafsiri vipi kwa mtazamo wako? kwanini usione tu kua ni jambo la kawaida kutokana na maamuzi ya mtu?
JF kila mtu yupo kwa malengo yake,wapo waliokuja kwa malengo ya kukimbizana na wadada huko pm au kujikuta wakivutika huko pm,
Mimi binafsi sina hayo mambo ya pm na wala sijawahi kuongea na mtu huko pm,ni maamuzi ya mtu tu na malengo yake wala sio ufahari.
akikushukia unikumbuke na mm.Haha..nibaki kua msomaji
Ila naomba Roho mt. Anishukie niwe hata mjuliaji hali za watu uko pm
HahahahaaaHaya mambo si ndio kama kuulizwa upo kwenye mahusiano? Maana majibu huwa tofauti sana, ila zote ni harakati za kuutafuta utelezi.
Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app