Swali: Kutokwenda PM na kutojuana na watu nje ya JF ni ufahari?

Naonaga watu kadhaa huku wanasema au kushangaa Kama watu tunajuana na wengine nje ya humu. Lakini unakuta Kati ya hao wanaoshangaa wanakesha pm au umeshaonana nao mtaani lakini wakiwa huku wanajifanya na wao wageni.

Je ni kitu kibaya kujuana na watu nje ya hapa?
Kama sio kitu kibaya kwanini watu hupenda kuruka kimanga kuhusu kwenda pm au kuwasiliana na watu nje ya hapa?
Kuna muda najiuliza sasa hata nanihii anasema haendagi pm Kwa MTU wala hajawahi onana na MTU Ina maana yule niliekutana nae mwenye ID fulani sie au kitu gani
Sometimes mtu anaandika tu, ili uwepo wake uonekane, usiwajali.

Nataka tufanye arrangements mi nawewe tujuane pia.

Unalionaje hilo wazo!?
 
Naonaga watu kadhaa huku wanasema au kushangaa Kama watu tunajuana na wengine nje ya humu. Lakini unakuta Kati ya hao wanaoshangaa wanakesha pm au umeshaonana nao mtaani lakini wakiwa huku wanajifanya na wao wageni.

Je ni kitu kibaya kujuana na watu nje ya hapa?
Kama sio kitu kibaya kwanini watu hupenda kuruka kimanga kuhusu kwenda pm au kuwasiliana na watu nje ya hapa?
Kuna muda najiuliza sasa hata nanihii anasema haendagi pm Kwa MTU wala hajawahi onana na MTU Ina maana yule niliekutana nae mwenye ID fulani sie au kitu gani
Si ufahari mkuu

Ngoja mimi nije PM yako

But don't shut me down
 
Naonaga watu kadhaa huku wanasema au kushangaa Kama watu tunajuana na wengine nje ya humu. Lakini unakuta Kati ya hao wanaoshangaa wanakesha pm au umeshaonana nao mtaani lakini wakiwa huku wanajifanya na wao wageni.

Je ni kitu kibaya kujuana na watu nje ya hapa?
Kama sio kitu kibaya kwanini watu hupenda kuruka kimanga kuhusu kwenda pm au kuwasiliana na watu nje ya hapa?
Kuna muda najiuliza sasa hata nanihii anasema haendagi pm Kwa MTU wala hajawahi onana na MTU Ina maana yule niliekutana nae mwenye ID fulani sie au kitu gani
Kwanini uwaze kua kutokwenda pm ni ufahari? kwani neno ufahari unalitafsiri vipi kwa mtazamo wako? kwanini usione tu kua ni jambo la kawaida kutokana na maamuzi ya mtu?

JF kila mtu yupo kwa malengo yake,wapo waliokuja kwa malengo ya kukimbizana na wadada huko pm au kujikuta wakivutika huko pm,

Mimi binafsi sina hayo mambo ya pm na wala sijawahi kuongea na mtu huko pm,ni maamuzi ya mtu tu na malengo yake wala sio ufahari.
 
-Pm
-Ban

Hivi vitu sijui vina rangi gani au umbali wa kilomita ngapi kutoka hapa, manake nimeona karibia wanawake wote wa humu ukiwafwata Pm na za mchana,umekula,umevaa nguo ya rangi gani unakuja kuanzishiwa sredi huku😂😂😂
 
Kwanini uwaze kua kutokwenda pm ni ufahari? kwani neno ufahari unalitafsiri vipi kwa mtazamo wako? kwanini usione tu kua ni jambo la kawaida kutokana na maamuzi ya mtu?

JF kila mtu yupo kwa malengo yake,wapo waliokuja kwa malengo ya kukimbizana na wadada huko pm au kujikuta wakivutika huko pm,

Mimi binafsi sina hayo mambo ya pm na wala sijawahi kuongea na mtu huko pm,ni maamuzi ya mtu tu na malengo yake wala sio ufahari.
Unapata wapi ujasiri wa kuanzisha convo na fake id? Acha niendelee kuwa msomaji nafikiri naenjoy zaidi kuliko nikianza marathon za huko pm
 
Haha..nibaki kua msomaji

Ila naomba Roho mt. Anishukie niwe hata mjuliaji hali za watu uko pm
Wanawake wengi wakija pm wamefuata umbea. Kaona kitu jukwaani haelewi basi ndo atakuja. Wanaume ndio wanakujaga japo kusalimia tuu
 
Ila tatizo lenu tukiwasalimiaga tu mnatufanyia ukatili sijui mnahisi tunataka tu kuwatongoza? Hapana bana mbona sie hatunaga hizo (natania japo kuna ka ukweli)
Hahahaahahaaa
 
Back
Top Bottom